Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU KANISA LA MTAKATIFU YOHANA- MARIA MZEYI PAROKIA YA MLIMANI CHATO MKOANI GEITA.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia ya Mlimani Chato mkoani Geita leo tarehe 10/04/2020.Padre Innocent Sanga akiongoza Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Aprili, 2020 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki katika Parokia ya Mlimani, Wilaya ya Chato Mkoani Geita kusali Ibada ya Ijumaa Kuu iliyoongozwa na Padre Prof. Innocent Sanga kutoka Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya.

Ibada ya Ijumaa Kuu huadhimishwa ikiwa ni kumbukumbu ya kusulubiwa na kufa kwa Bwana Yesu Kristo, zaidi ya miaka 2,000 iliyopita.

Katika salamu zake, Mhe. Rais Magufuli amemshukuru Padre Sanga kwa...

 

10 years ago

Michuzi

IBADA YA IJUMAA KUU KATIKA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH DAR ES SALAAM

 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali  Pengo, akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu katika   Kanisa la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam,  Katikati aliyeshikilia msalaba huo  ni Padri Audax Kaasa wa kanisa hilo.(PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA) Mtoto Benedicta Mushi, ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Masaka English Medium  akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu,  kulia kwa mtoto huyo ni Baba mzazi Philip Mushi Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi  wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020 Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister
Makubi  wakati wa Ibada ya Jumatano ya...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA KRISMASI KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETER JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kushiriki Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015.Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakishiriki Ibada ya Krismas katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015Sehemu ya waumini katika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli ahimiza Amani nchini, ashiriki misa ya Krismasi katika kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar e Salaam !

 

x12

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za heri ya Krismasi mara baada ya kumalizika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015.

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za heri ya Krismasi mara baada ya kumalizika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015. Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za heri ya Krismasi...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atoa salamu baada ya kusali Ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Usharika wa Chato

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020 mara...

 

5 years ago

Michuzi

PICHA MBALIMBALI ZIKIONESHA RAIS MAGUFULI ALIPOWASI CHATO MKOANI GEITA AKITOKEA DODOMA.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Machi, 2020 amewasili Chato Mkoani Geita akitokea Mkoani Dodoma.

Mhe. Rais Magufuli ametua katika uwanja wa ndege wa Chato na kisha kuelekea nyumbani kwake katika kitongoji cha Lubambangwe, Kijiji cha Mlimani Wilayani Chato.





 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani