WAZIRI MKUU ASALI SALA YA EID EL FITRI, KATIKA MSIKITI WA GADDAFI, JIJINI DODOMA.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kiislam, Mkoa wa Dodoma, wakati akiwasili katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, kuhudhuria Sala ya Eid el Fitri, May 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiitikia dua, baada ya sala ya Eid el Fitri, katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, May 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waumini wa Dini ya Kiislamu, waliyohudhuria katika ibada ya sala ya Eid el Fitri, akiitikia dua,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU MAJALIWA ASALI SALA YA EID EL FITRI, MSIKITI WA GADDAFI, DODOMA.
10 years ago
VijimamboSALA YA EID KATIKA MSIKITI WA ISLAMIC CENTER MASSACHUSSET AVENUE WASHINGTON DC
Familia hazikuwa nyuma katika kipiga picha katika siku hii adhimu, siku tukufu, baada ya mahujaji...
11 years ago
Dewji Blog24 Jul
Waziri Mkuu mgeni rasmi Baraza la Eid- ElL-Fitri
Na Hassan Silayo-MAELEZO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mizengo Pinda (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid- ElL-Fitri.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Suleiman Lolila baraza hilo litafanyika katika viwanja vya Karimjee kuanzia saa kumi kamili alasiri.
Aidha taarifa hiyo imesema kuwa Sikukuu ya Eid-EL-Fitri inatarajiwa kuwa tarehe 28 au 29 julai 2014 kulingana na mwandamo wa mwezi.
Sikukuu...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA WAJASIRIMALI WA ASALI KATIKA VIWANJA VYA M.J NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi
MSIKITI WA GADDAFI DODOMA WAMSHUKURU MEMBE


10 years ago
Vijimambo
MSIKITI WA GADDAFI DODOMA WAMSHUKURU MEMBE - TUMIA HII


5 years ago
CCM Blog24 May
WAPALESTINA WASHAMBULIWA KATIKA SWALA YA EID EL FITRI

10 years ago
Vijimambo
Dk Shein ajumuika na waislamu katika Sala ya Eid el Fitr




11 years ago
VijimamboSALA YA EID ILIOSALIWA KATIKA JIMBO LA MARYLAND NCHINI MAREKANI