MSIKITI WA GADDAFI DODOMA WAMSHUKURU MEMBE - TUMIA HII
![](http://2.bp.blogspot.com/-zYXMkMSJdtI/VZHsmIcv0SI/AAAAAAADuy4/pt20EXbbP3c/s72-c/1.jpg)
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kulia) akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), kwa waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Diwani wa Kwadelo, Alhaj Omary Kariati. Picha zote na John Badi
Sheikh Mkuu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ByQatpTFLW8/VZHYUSMC9bI/AAAAAAAHlxA/X5wX8chtMq0/s72-c/unnamed%2B%252819%2529.jpg)
MSIKITI WA GADDAFI DODOMA WAMSHUKURU MEMBE
![](http://1.bp.blogspot.com/-ByQatpTFLW8/VZHYUSMC9bI/AAAAAAAHlxA/X5wX8chtMq0/s640/unnamed%2B%252819%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-gau3vqhpgo0/VZHYUXMvbrI/AAAAAAAHlw8/jlgowBdF-Sk/s640/unnamed%2B%252820%2529.jpg)
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU MAJALIWA ASALI SALA YA EID EL FITRI, MSIKITI WA GADDAFI, DODOMA.
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ASALI SALA YA EID EL FITRI, KATIKA MSIKITI WA GADDAFI, JIJINI DODOMA.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TsTTtFt0T60/UvSNo9KbF1I/AAAAAAAFLgk/93ORgZtze-w/s72-c/electric-car.jpg)
HII NDIO GARI ISIZO TUMIA WESE
![](http://1.bp.blogspot.com/-TsTTtFt0T60/UvSNo9KbF1I/AAAAAAAFLgk/93ORgZtze-w/s1600/electric-car.jpg)
AHSANTE MDAU LUTON UK
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wdLXfrsULNw/VaC5nOnPysI/AAAAAAAHomM/-FUoRHWQLdg/s72-c/MMGL0620.jpg)
UPDATES KUTOKA DODOMA ASUBIHI HII: TANO BORA YA WAGOMBEA URAIS WA CCM NI MEMBE, MAGUFULI, MIGIRO,MAKAMBA NA BALOZI AMINA SALUM
![](http://3.bp.blogspot.com/-wdLXfrsULNw/VaC5nOnPysI/AAAAAAAHomM/-FUoRHWQLdg/s640/MMGL0620.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aTaFecdvwFo/XrY8cRyXQ9I/AAAAAAALphk/TlJusRIOz-QdXkkEQvgMxlFhXR_bhabUwCLcBGAsYHQ/s72-c/3de15645-5431-4ae8-a751-75738d17f5ee.jpg)
WANANCHI DODOMA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUPATA FIDIA KUPISHA UJENZI WA SGR
Zoezi hilo linahusisha fidia za nyumba na viwanja, jumla ya wananchi 2,604 wanatarajiwa kulipwa fidia yenye thamani ya zaidi ya Shilingi...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-aTaFecdvwFo/XrY8cRyXQ9I/AAAAAAALphk/TlJusRIOz-QdXkkEQvgMxlFhXR_bhabUwCLcBGAsYHQ/s72-c/3de15645-5431-4ae8-a751-75738d17f5ee.jpg)
WANANCHI DODOMA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUPATA FIDIA KUPISHA UJENZI WA SGR
Wananchi jijini Dodoma wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kupata fidia baada ya maeneo yao kuwekwa katika orodha ya maeneo yanayopitiwa na mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Morogoro – Dodoma – Singida katika Kata za Ihumwa, Mkonze na Kikuyu Kusini mkoani Dodoma, hivi karibuni Mei 2020.
Zoezi hilo linahusisha fidia za nyumba na viwanja, jumla ya wananchi 2,604 wanatarajiwa kulipwa fidia yenye thamani ya zaidi ya Shilingi...
10 years ago
Vijimambo15 Nov
HEADING TUMIA HII: MO AMONG TOP 3 IN A LIST OF 100 AFRICA’S YOUNG BUSINESS LEADERS
![DSC_0317-1024x682](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC_0317-1024x6821.jpg)
CEO of MeTL GROUP, Mohammed Dewji.African Business Magazine.pdf by moblog
10 years ago
Michuzi13 Aug