WAPALESTINA WASHAMBULIWA KATIKA SWALA YA EID EL FITRI
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wamefika katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds kwa ajili ya Ibada.Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Fars, wanajeshi wa utawala ghasibu siku ya Jumapili asubuhi waliwashambulia Wapalestina waliokuwa wamefika kando kando ya msikiti wa Al Aqsa kwa ajili ya Swala ya siku kuu ya Eid el Fitri.Pamoja na kuwepo utumiaji mabavu wa askari wa Kizayuni, Wapalestina hao hatimaye waliweza kuswali Swala siku kuu ya Eid el...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
SWALA YA EID EL FITRI ILIYOSWALIWA KITAIFA KATIKA VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN MJINI ZANZIBAR LEO ASUBUHI
11 years ago
MichuziSwala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo asubuhi
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA.


10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA


5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ASALI SALA YA EID EL FITRI, KATIKA MSIKITI WA GADDAFI, JIJINI DODOMA.
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA BARAZA LA SIKUKUU YA EID EL- FITRI KITAIFA MKOANI GEITA



11 years ago
Michuzi.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AUNGANA NA WAUMINI KATIKA SWALA YA EID EL-HAJI JIJINI DAR LEO.
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Dewji Blog06 Oct
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aungana na waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Eid El-Haji Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid El- Hajim iliyoswaliwa katika Msikiti wa Istiqaama, jijini Dar es Salaam, jana. Wa pili (kulia) ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kushiriki swala ya Sikukuu ya Eid El- Hajim...
10 years ago
GPLYALIYOJIRI JANA MAISHA BASEMENT EID EL FITRI, DAR