Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YALIYOJIRI JANA MAISHA BASEMENT EID EL FITRI, DAR

Meneja Mkuu wa Burudani wa Maisha Basement, Hemedi Kavu (HK, wa pili kulia)  akiwa katika pozi na warembo hao.
Warembo wa New Maisha Basement (katikati) wakiwa kwenye picha ya pozi na wamasai
Warembo wakipiga picha za…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

BURUDANI ZA WATOTO SIKUKUU YA EID EL FITRI DAR LIVE

Watoto wakiendelea kusherehekea Eid el Fitri ndani ya Ukumbi wa Dar Live leo kwa mbwembwe za kila aina ikiwa ni pamoja na michezo mbalimbali, kama vile bembea, kupanda juu ya sanamu ya ndege. Mmoja ya watoto wakiendelea kujibu maswali kujipatia zawadi mbalimbali. Watoto wengine wakiwashudia.…

 

10 years ago

Michuzi

ANSWAR-SUN WASWALI IDD EID FITRI JANGWANI DAR ES SALAAM LEO


 Amiri wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala ya Iddi katika viwanja hivyo. Shekh Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam leo.
Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo. Waumini wa madhehebu ya Anwar-Suni wakiswali katika viwanja hivyo.Swala ikiendelea. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com

 

10 years ago

GPL

ANSWAR-SUN WASWALI IDD EID FITRI JANGWANI DAR ES SALAAM LEO‏

 Amiri wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala ya Iddi katika viwanja hivyo.  Shekh Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam leo. Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo.…

 

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI DAR LIVE KATIKA SHEREHE YA WAUZA MAGAZETI JANA

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo, akisalimiana na baadhi ya wauza magazeti  baada ya kuwasili Dar Live Pichani kutoka kulia ni Katibu wa Mawakala na Wauza Magazeti, Msokolo,  wa pili ni mwenyekiti wake, Mzee Deo, katikati ni Eric Shigongo,  akiwa na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho na Afisa Utawala wa Global Publishers, Soud Kivea… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA IDD MOSI KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB

 Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya 'Maisha Basement' zamani New Club Maisha pamoja na Maisha Club za Tanzania, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Miasha Club za Tanzania, Allan Ngugi na...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Makonda Idd Mosi kuzindua Club mpya ya Maisha Basement zamani New Maisha Club

Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya ‘Maisha Basement’ zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Club hiyo, Allan Ngugi na Meneja Uendeshaji wa Sam Kaliuki.

  Mratibu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Yaliyojiri katika shoo ya Twanga Pepeta kwenye Club ya Maisha jijini Dar

1    Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (katikati) akiimba pamoja na waimbaji wake kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya maisha jijini Dar.

Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Salehe Kupaza akiimba kwa hisia kubwa kwa mashabiki wao waliofika kutizama shoo yao ya nguvu kulia ni  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu.

  Haji Ramadhani(wa kwanza kulia) akiimba pamoja na waimbaji wenzake wa Twanga Pepeta kwenye club ya Maisha jijini Dar  Mwimbaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani