Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zaidi ya watoto 1,000 nchini wawekwa kizuizini

IDARA ya Ustawi wa Jamii iliyo chini ya Wizara ya Afya imesema kwamba taarifa ya ufuatiliaji wa mashauri ya watoto nchini ya mwaka 2014 ambayo iliandaliwa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) ilibainisha kuwepo kwa wastani wa watoto 1,000 waliowekwa megerezani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Watoto 9,000 wenye umri zaidi ya miaka 11 warejeshwa shule kupitia Mradi Wa Tasaf

Wanawake wa Wilaya ya Chato wameamua kubadilika baada ya kuwezeshwa na Mradi wa TASAF kwa kuwarudisha watoto 9,000 wenye zaidi ya miaka 11 katika shule sitini ambao walikuwa hawasomi  na wengine kuacha shule kutokana na umbali na kukosa uwezo wa kuwanunulia vifaa mbalimbali vya shule.

Pamoja na kuwaanzisha shule sitiri bado baadhi ya wanawake wamekuwa wakinyang’anywa fedha wanazopatiwa na waume zao na kuwafanya baadhi yao kushindwa kutimiza lengo la kuhakikisha watoto wanasoma na kupelekwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Watoto 13,000 nchini huzaliwa na magonjwa ya Moyo

DOKTA NAMALA

Na Modewji blog team

Imeelezwa kuwa, zaidi  ya watoto 13,000 nchini, wanazaliwa na magonjwa ya moyo huku kati yao asilimia 25 pekee, wanahitaji matibabu ya ndani kwa kipindi cha mwaka mmoja mara baada ya kugundulika.

Aidha, mwaka 2013/14 jumla ya watoto 330 walihitaji matibabu, kati yao 128  walifanyiwa upasuaji.

Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam, na Makamu wa Rais wa Chama cha Madakatari wa Watoto Tanzania, Dk. Namala Mkopi(pichani), mbele ya waandishi wa habari.

Pia, chama hicho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto 11,000 huzaliwa na sikoseli kila mwaka nchini

TAASISI ya Sikoseli Tanzania imewaomba wadau wengine wa afya nchini kujiunga katika mapambano ya ugonjwa wa seli mundu ‘sickle cell’   kwani idadi ya watoto wanaozaliwa na ugonjwa huo kila mwaka...

 

10 years ago

Vijimambo

WATU ZAIDI YA 2,000 WAFARIKI DUNIA KUTOKANA NA TETEMEKO LA ARDHI NCHINI NEPAL

 Siku moja baada ya kukumbwa na tetemeko kubwa la ardhi, Nepal imeshuhudia tetemeko lingine kubwa lililoelezewa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 2,000 katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kathmandu.  Maofisa nchini humo wamesema kuwa vikosi vya uokoaji vinaendelea na kazi ya kuwatafuta watu walionusurika, na wanahofu kuwa idadi ya watu waliofariki dunia inaweza kuongezeka.Wananchi wakiwa wamekusanyika katika maeneo ya wazi mitaani mjini Kathmandu baada ya kutokea kwa tetemeko hilo. Tetemeko hilo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kutojali lishe kwaua watoto 179,000 kwa mwaka nchini

>Licha ya Serikali kutangaza mara kadhaa kuwa inataka hadi kufikia mwaka 2015 iwe  imepunguza tatizo la utapiamlo  kutoka asilimia 15 ilivyo mpaka asilimia 5, hali ya tatizo hilo bado inaonekana ni mbaya.

 

10 years ago

Vijimambo

IDADI YA VIFO VINAVYOTOKANA NA JOTO KALI NCHINI INDIA VIMEPITA ZAIDI WATU 1,000

 Idadi ya vifo vinavyotokana na joto kali nchini India vimepita zaidi watu 1,000 huku hali ya joto ikikaribia nyuzi joto 50 katika baadhi ya maeneo. Vingi ya vifo vimetokea katika jimbo la kusini la Telangana pamoja na Andhra Pradesh, ambapo watu 1,118 wamekufa tangu wiki iliyopita. Ripoti zinaeleza watu wengine 24 wamekufa kutokana na joto kali huko Bengali Magharibi pamoja na Orissa. Hali ya joto hilo inatarajiwa kupungua katika siku chache zijazo.


 

10 years ago

Michuzi

WATOTO ZAIDI YA ELFU KUMI HUZALIWA NA SIKO SELI KILA MWAKA NCHINI

Mratibu wa Mradi wa MDOTS unoafanya utafiti wa tiba ya ugonjwa wa siko seli (Sickle Cell) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dkt. Robert Mongi (kulia) akifafanua jambo kwa baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania waliofika hospitalini hapo kukabidhi msaada wa simu 150 aina ya ZTE zitakazotumiwa na wagonjwa wa siko seli kujirekodi na kutuma video wakati wakimeza dawa za ugonjwa huo na kuzituma katika hospitali hiyo kila watumiapo dawa hizo kwa ajili ya kujua kama wanafuata matumizi...

 

5 years ago

Michuzi

Zaidi ya wanajeshi elfu moja (1000) wa Israel wawekwa chini ya karantini kwa corona

 Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetangaza kuwa, wanajeshi 1040 wa utawala huo ghasibu wamewekwa chini ya karantini kutokana na virusi vya corona.

Televisheni ya al Alam imenukuu taarifa iliyotolewa na Aviv Kochavi, mkuu wa majeshi ya Israel akisema kuwa, utawala huo umechukua hatua hiyo ili kupunguza idadi ya wanajeshi wake waliokumbwa na virusi hatari vya corona.

Siku ya Ijumaa pia utawala wa Kizayuni ulitangaza kuwa, mwanajeshi yeyote wa utwaala huo hana ruhusa ya kuondoka kwenye...

 

10 years ago

GPL

WATOTO ZAIDI YA ELFU KUMI HUZALIWA NA SIKO SELI KILA MWAKA NCHINI‏

Mratibu wa Mradi wa MDOTS unoafanya utafiti wa tiba ya ugonjwa wa siko seli (Sickle Cell) katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dkt. Robert Mongi (kulia) akifafanua jambo kwa baadhi ya wafanyakazi  wa Vodacom Tanzania waliofika hospitalini hapo kukabidhi msaada wa simu 150 aina ya ZTE zitakazotumiwa na wagonjwa wa siko seli  kujirekodi na kutuma video wakati wakimeza dawa za ugonjwa huo na kuzituma katika hospitali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani