Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Guninita atabiri kilimo cha miwa kufa

MKULIMA wa Miwa aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ameibuka na utabiri kuwa zao hilo litakufa miaka miwili ijayo endapo serikali...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kilimo sasa kujikita kwenye mashamba ya mpunga, miwa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia KadumaWIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza maeneo ya kipaumbele katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, miongoni mwake ikiwa ni kuendeleza mashamba makubwa ya kibiashara kwa mazao ya miwa na mpunga.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA


 Na Pamela Mollel, Arusha.

KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5  ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira

Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...

 

10 years ago

GPL

MGEJA, GUNINITA WAKITOSA CHAMA CHA MAPINDUZI, WAJIUNGA CHADEMA

Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Sheikh, Rajab Katimba (kushoto) akiwa na  aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga ambaye ameachana na chama hicho, Khamis Mgeja,  na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ambaye naye amehamia Chadema. Mgeja akionyesha ishara ya Chadema baada ya kutoa tamko la kujiuzulu. Wanahabari wakichukua matukio katika hafla hiyo. Baadhi ya makada wa CCM...

 

11 years ago

Michuzi

WARSHA YA UBORESHAJI WA KILIMO CHA APPLES MAKETE KWA MAAFISA KILIMO YAFUNGULIWA

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza wakati akifungua warsha kwa wataalamu wa kilimo katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Makete hii leo.  Mwezeshaji kutoka shirika ka TAHA Bw. Isaac Ndamanhyilu akizungumza kwenye warsha hiyo.  Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wataalamu wa kilimo wa kata na vijiji vya wilaya ya Makete.  Wataalamu wakifuatilia mafunzo hayo.   Mwezeshaji Manfred Bitala akiwawezesha washiriki wa warsha hiyo. Na Edwin...

 

5 years ago

Michuzi

MASAWE AGUSIA BAJETI 2020/2021 NA KUSISITIZA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA KILIMO ILI KUENDANA NA TEKNOLOJIA YA KILIMO CHA KIDIGITAL

 Na Mwinyi Mvua PwaniBAADHI wataalamu wa kilimo na mifugo Kibaha, Pwani wamesema bajeti iliyopendekezwa imegusa maslahi ya Mtanzania licha ya kutoa maoni yao kuwa yapo maeneo hayajaguswa kumnufaisha mkulima wa kisasa ikiwemo wataalamu wa ugani wasajiliwe ili kwenda sambamba teknolojia ya kisasa katika kilimo pamoja na kujenga viwanda vingi vya mbolea ndani ya nchi .
Aidha upande wa suala la uboreshaji wa kilimo kwa kuweka mazingira ya upatikanaji wa vifaa vya kilimo kwa gharama nafuu ikiwa ni...

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KWANZA CHA BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu (aliyesimama) akitoa utambulisho kwa wajumbe wapya wa Bodi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha kwanza cha Bodi ya Mradi wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza rasmi kutekelezwa katika eneo la Magereza, Gereza Kigongoni Bagamoyo .Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu akitoa maelezo mafupi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha kwanza cha Bodi ya Mradi wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AONANA NA WATAFITI KUTOKA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO UYOLE MBEYA KUJADILI KUINUA KILIMO CHA NGANO MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza na watafiti kutoka taasisi ya Utafiti wa Kilimo Uyole iliyopo Mkoani Mbeya walipomtembelea ofisini kwake leo kutambulisha mpango wa SARD (Strategic Agriculture Reseach Development) unaodhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB (Africa Development Bank). Mpango huo una lengo la kupunguza utegemezi wa chakula nchini kwa kuongeza uzalishaji wa vyakula mbalimbali ikiwemo zao la ngano ambalo ni sehemu ya mradi huo Mkoani Rukwa.

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AKAGUA KITALU CHA MICHE YA MKONGO CHA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO MLINGANO


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya mkonge wakati alipotembelea kitalu cha Taasisi ya Kilimo Nchini (TARI) Mlingano wilayani Muheza Machi 6, 2020.  Kulia ni Mwenyekti wa CCM wa mkoa wa Tanga, Henry Shekifu, wa nne kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba na wa tatu kulia ni  Mkurugenzi wa Kituo hicho, Dkt. Catherene Senkoro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche ya mkonge wakati alipotembelea kitalu cha Taasisi ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOLEA CHA MINJINGU MKOANI MANYARA

Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua uzalishaji wa mbolea mara baada ya kutembelea kiwanda cha mbolea cha Minjingu (Minjingu Mines and Fertilizer Ltd) kilichopo katika eneo na Kata ya Minjingu Mkoani Manyara tarehe 19 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo mara baada ya kutembelea kiwanda cha mbolea cha Minjingu (Minjingu Mines and Fertilizer Ltd) kilichopo katika eneo na Kata ya Minjingu Mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani