Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shekhe:Wajumbe msikubali wanasiasa wawanunue

SHEKHE wa Mkoa wa Dodoma Mustapha Rajabu amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaowakilisha kupitia taasisi zao kwenye mchakato wa kuipata Katiba mpya kutokubali kununuliwa na wawakilishi wa vyama vya siasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mtoto wa Shekhe Yahya atabiri anguko la wanasiasa

Hassan Yahya HusseinMRITHI wa kazi za marehemu Shekhe Yahya Hussein, Hassan Yahya Hussein, ametabiri kutokea kwa anguko la baadhi ya wanasiasa na kuibuka kwa malumbano yenye utata, kuhusu ajenda ya Serikali Tatu katika Katiba ijayo.

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Mutungi: Redio jamii msikubali kutumiwa ‘kijinga’ na wanasiasa

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amezitaka redio za jamii kutokubali kutumiwa na vyama vya siasa vinavyotumia unyonge wa Watanzania kiuchumi kujinufaisha kisiasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Makinda: Wajumbe Bunge la Katiba msikubali kununuliwa

>Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda amewafunda wajumbe wa Bunge la Katiba, akiwataka kutokubali kununuliwa kwa chai wala fedha na kusahau jukumu lao la kulinda masilahi ya taifa.

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA MSIKUBALI KUTUMIWA VIBAYA NA BAADHI YA WANASIASA KWA FAIDA YA WACHACHE-MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiVIJANA wametakiwa kutokubali kutumiwa vibaya na baadhi ya wanasiasa  kwa maslahi ya watu wachache huku hao wanaowatumia wanasonga mbele kimaendeleo na wao wanazidi kurudi nyuma.
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa  kijiji cha Kikomolela kilichopo  jimbo la Mchinga na mtaa wa Likotwa uliopo Jimbo la Lindi mjini waliohudhuria kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na urais...

 

10 years ago

Habarileo

Wosia wa Shekhe Karume

Balozi Ali Karume.MTAZAMO na hisia za Muasisi wa Muungano na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Shekhe Abeid Aman Karume katika Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, umewekwa hadharani na mmoja wa wanawe, ambaye kabla ya kifo cha baba yake, alikuwa Naibu Waziri wa Biashara.

 

10 years ago

Habarileo

Shekhe Ponda aachiwa huru

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda (mwenye kanzu) akiingia Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam jana kusikiliza kesi inayomkabili. (Picha na Yusuf Badi).MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemwachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi yake.

 

11 years ago

Habarileo

JK amlilia Shekhe wa Mkoa wa Iringa

RAIS Jakaya Kikwete, amemtumia Salamu za Rambirambi Mufti wa Tanzania, Sheikh Shaaban Bin Simba, kutokana na msiba wa Shekhe wa Mkoa wa Iringa, Alhaj Shekhe Ally Juma Tagalile (96). Shekhe Tagalile alifariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu.

 

11 years ago

Habarileo

Ombi la Shekhe Ponda latupwa

 Flora Mwakasala MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la mapitio lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kwa kuwa limewasilishwa kinyume cha sheria.

 

11 years ago

Habarileo

Ombi la Shekhe Ponda kusikilizwa Machi 26

OMBI la marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda, litasikilizwa Machi 26 mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani