Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


shehena ya mwisho ya mabomba kwa ajili ya ujenzi wa bomba la gesi yawasili dar

 Katibu mkuu wizaraya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (Watatu kushoto), akizungumza jambo na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Victor Mwambalaswa (Wanne kushoto), wakati kamati hiyo ilipotembelea bandari ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kujionea kazi ya upakuaji vifaa vya ujenzi na kupokea shehena ya mwisho ya mabomba ya kupitishia gesi. Wengine ni wajumbe wa kamati hiyo, Raha Mohammed (Kulia), Richard Ndasa (Wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Shehena ya mwisho ya mabomba ya gesi yawasili

Eliakim Maswi SHEHENA ya mwisho ya mabomba ya gesi imewasili Dar es Salaam jana ikitokea China na kuleta uhakika wa kukamilika kwa wakati kwa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, ifikapo Juni mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kitwanga apokea shehena ya mwisho mabomba ya gesi

NAIBU Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia nishati, Charles Kitwanga, amepokea shehena ya mwisho ya mabomba ya gesi katika Bandari ya Mtwara na kueleza ujio wa miundombinu hiyo ni neema...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI CHARLES KITWANGA APOKEA SHEHENA YA MWISHO YA MABOMBA YA GESI

Na Asteria Muhozya, Mtwara   Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Mhe. Charles Kitwanga, amepokea Shehena ya mwisho ya mabomba ya gesi katika bandari ya Mtwara na kueleza kuwa, ujio wa miundo mbinu hiyo ni neema kwa uchumi wa Tanzania.  Aliongeza kuwa, hiyo ni hatua kubwa katika kufikia malengo tarajiwa ikizingatiwa kwamba, kukamilika kwa mradi huo kutachochea na kufungua njia mbalimbali za uchumi unaoendana na sekta ya gesi na mafuta.   “Ujenzi wa miundombinu ya...

 

10 years ago

GPL

TPDC YATUMIA DOLA ZA KIMAREKANI BILIONI 1.225 KWA AJILI YA MRADI WA BOMBA LA GESI

 Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), Michael Mwande akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzungumzia mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam ambapo ujenzi huo umefikia asilimia 94.…

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda kukagua ujenzi bomba la gesi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anaanza ziara ya siku mbili kukagua ujenzi wa bomba la gesi Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.

 

11 years ago

GPL

YADI YA MABOMBA YA GESI KONGOWE DAR YAFUNIKWA NA MAJI

Kutokana na hali hiyo magari yamefunikwa na maji, hivyo kusababisha kazi kusimama na wigo uliozungushiwa mabati kubomoka na 'mateja' kujitwalia mabati hayo, hivyo kuwa neema kwao. Wakati huo huo usafiri wa mabasi kutoka Mbagala kwenda Kongowe umesimama kutokana na magari mengi kuzimika katikakati ya barabara hiyo, hivyo hivi sasa kuna msururu wa watu wanaotembea kwa miguu kwenda Kongowe au kutoka Kongowe kwenda Mbagala. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani