TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA BOMBA LA GESI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Jan
10 years ago
VijimamboTPDC YATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA KUTOKA MADIMBA MTWARA,SONGO SONGO LINDI NA PWANI HADI DAR ES SALAAM.
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Pinda kukagua ujenzi bomba la gesi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anaanza ziara ya siku mbili kukagua ujenzi wa bomba la gesi Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wTq5CxsTvBE/Uvd7A7BdMOI/AAAAAAAFL7E/VYs-VnG9DNM/s72-c/unnamed+(8).jpg)
shehena ya mwisho ya mabomba kwa ajili ya ujenzi wa bomba la gesi yawasili dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-wTq5CxsTvBE/Uvd7A7BdMOI/AAAAAAAFL7E/VYs-VnG9DNM/s1600/unnamed+(8).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-EKhpNfTXroA/UzQgyNDJnVI/AAAAAAAFWxU/EbOlvcB3nF8/s72-c/unnamed+(31).jpg)
UTANDAZAJI WA BOMBA LA GESI KUKAMILIKA JULAI
Na Saidi Mkabakuli
Maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu kufuatia kuendelea vyema kasi ya kundaza bomba hilo.
Wakizungumza na wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Wahandisi wa Ujenzi kutoka Shirika la Mafuta Tanzania (TPDC), Mhandisi Mwita Yagela na Mhandisi Omary Kitiku wamesema kuwa kasi ya sasa ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata gesi kilichopo kijiji cha Madimba,...
11 years ago
Mwananchi23 May
Mitaa kikwazo usambazaji bomba la gesi
Mpangilio mbovu wa mitaa Dar es Salaam umeendelea kuwa mwiba wa upatikanaji huduma za jamii baada ya kuonekana kikwazo kwa mradi wa usambaji wa bomba la gesi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
10 years ago
Habarileo09 Jan
Bomba la gesi asilia litaokoa trilioni 1.6/-
MRADI wa ujenzi wa bomba la gesi asilia, utaleta manufaa makubwa kwa taifa na wananchi wake, ikiwemo utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2015 na utasaidia kuokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania