Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitaa kikwazo usambazaji bomba la gesi

Mpangilio mbovu wa mitaa Dar es Salaam umeendelea kuwa mwiba wa upatikanaji huduma za jamii baada ya kuonekana kikwazo kwa mradi wa usambaji wa bomba la gesi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UTANDAZAJI WA BOMBA LA GESI KUKAMILIKA JULAI

 Na Saidi Mkabakuli  Maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu kufuatia kuendelea vyema kasi ya kundaza bomba hilo.  Wakizungumza na wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Wahandisi wa Ujenzi kutoka Shirika la Mafuta Tanzania (TPDC), Mhandisi Mwita Yagela na Mhandisi Omary Kitiku wamesema kuwa kasi ya sasa ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata gesi kilichopo kijiji cha Madimba,...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Waliopitiwa na bomba la gesi wanufaike pia ’

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda amemwagiza Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuhakikisha wizara yake inatenga kiasi cha Sh2 bilioni kila mwaka kwa ajili ya kuvipatia umeme na shughuli nyingine za maendeleo vijiji ambavyo vimepitiwa na bomba la gesi.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda kukagua ujenzi bomba la gesi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anaanza ziara ya siku mbili kukagua ujenzi wa bomba la gesi Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.

 

10 years ago

Habarileo

Bomba la gesi asilia litaokoa trilioni 1.6/-

MRADI wa ujenzi wa bomba la gesi asilia, utaleta manufaa makubwa kwa taifa na wananchi wake, ikiwemo utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2015 na utasaidia kuokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka.

 

10 years ago

Habarileo

Bomba la gesi lahitaji fedha zaidi kukamilika

GHARAMA za ujenzi wa bomba la gesi lililokamilika na kesho kuwa na uwezo wa kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam zimeongezeka na kufikia Dola za Marekani bilioni 1.33 (Sh trilioni 2.7).

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Bomba la gesi kukamilika mwaka huu

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, amesema zoezi la utandazaji mabomba ya kusafirishia gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Wajenzi wa bomba la gesi watoa boti ya wagonjwa

KAMPUNI ya Maendeleo ya mafuta ya China (CNPC) inayosimamia ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara - Dar es Salaam imetoa msaada wa boti ya kubeba wagonjwa kwa wananchi wa kisiwa cha Songosongo kilichopo Kilwa mkoani Lindi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani