Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lazinduliwa jengo la wazazi, zahanati

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif RashidSERIKALI imezindua jengo la wazazi, zahanati, nyumba ya watumishi wa afya na gari la kubebea wagonjwa katika wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, vyote vikiwa vimegharimu Sh bilioni 1.2.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.


Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.
PSPF Towers ni moja ya majengo machache marefu barani Afrika na ndiyo jengo refu zaidi LILILOKAMILIKA Afrika Mashariki na Kati, likiwa na urefu wa mita 147.Majengo mengine marefu Afrika ni Carlton Centre (mita 223) lililopo Afrika Kusini, Hassan II Mosque (mita 210) lililopo Moroko, Ponte City (mita 173) lililopo Afrika Kusini, Necon House (Mita 160) lililopo Nigeria, Marble Tower (mita 152), Pear dawn (mita...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda akataa kukagua jengo la zahanati

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, jana alikataa kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Mkonze katika Manispaa ya Dodoma, alipofanya ziara ya miradi ya maendeleo ya manispaa. Kwa mujibu wa ratiba...

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda acharuka, akataa kukagua jengo la zahanati

Hali ya kufanya kazi kwa mazoea iliyojengeka kwa baadhi ya watendaji wa Serikali imeanza kuwatokea puani watendaji wa Manispaa ya Dodoma wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipoamua kufanya ziara kukagua miradi ya maendeleo.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ACHARUKA, AKATAA KUKAGUA JENGO LA ZAHANATI

ILE HALI ya kufanya kazi kwa mazoea (business as usual)  iliyojengeka kwa baadhi ya watendaji wa Serikali leo imewatokea puani watendaji wa Manispaa ya Dodoma wakati Waziri Mkuu alipoamua kufanya ziara kukagua miradi ya maendeleo.
Akiwa katika eneo la kwanza ambalo alipangiwa kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Mkonze leo asubuhi (Jumamosi, Juni 7, 2014) Waziri Mkuu alipokea taarifa ya ujenzi wa kituo na kubaini kuwa hawajafanya chochote ili kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa Machi 22,...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA PAN AFRICAN ENERGY YAKABIDHI JENGO LA WAUGUZI KATIKA ZAHANATI YA NANGURUKURU WILAYANI KILWA

Meneja wa Uwajibikaji na Huduma za Jamii wa Kampuni ya uchimbaji wa Gesi ya Pan African Energy, Andrew Kashangaki(wa katikati) akimkabidhi funguo Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mhe. Abdallah Ulega(wa pili kushoto) za jengo la Wauguzi la Zahanati ya Nangurukuru wilayani Kilwa. Wa kanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Peter Malekela, wapili kushoto ni Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleman Ally Bungara 'Bwege' na wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kilwa Mzee Ally Mtopa.(Picha na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wapangaji jengo la Treni Mji Mkongwe watakiwa kuhama jengo hilo

14

Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar                                             

Serikali haitoridhia kuwabakisha Wapangaji na Wafanyabiashara katika jengo la Treni ili kuepusha maafa na kuokoa maisha ya Wananchi na mali zao.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban wakati wa mkutano wa mzungumzo ya pamoja kati ya Wapangaji na  Wafanyabiashara wanaolitumia jengo hilo na Serikali uliofanyika katika ofisi ya Mamlaka ya Mji Mkongwe iliopo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Jukwaa la waekezaji TZ, lazinduliwa

Soko la hisa la Dar Es Salaam Tanzania limezindua jukwaa linalowakutanisha wafanyabiashara na wawekezaji pamoja

 

11 years ago

Michuzi

Tamasha la Bagamoyo Marathon lazinduliwa

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel (kushoto) akishikana mikono na Mkurugrenzi wa Kampuni ya 4Beli, Gilbert Herman baada ya kuzindua  Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo Wilayani  Bagamoyo, Pwani .  Anayeangalia ni,  Katibu Tawala  wa Wilaya ya Bagamoyo, John Mhali. Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo, John Mhali alizungumza katika hafla ya uzinduzi  wa Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo iliyofanyika Bagamoyo, Mkoani Pwani .  Wengine...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani