Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ yatakiwa kutenga bajeti ya malaria

NCHI washiriki wa maendeleo na mashirika ya Kimataifa wameitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kuchangia katika mapambano dhidi ya malaria kwa kutenga bajeti ya fedha kwa mwaka na kuhakikisha ugonjwa huo unatokomezwa moja kwa moja.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Jamii yatakiwa kutenga fedha kusaidia walemavu

WAKAZI wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha na maeneo jirani wameombwa kutenga sh 1,500 katika matumizi yao ya siku kwa ajili ya kuchangia gharama za uendeshaji wa kituo cha kulelea...

 

9 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kutenga bajeti damu salama

SERIKALI imezitaka kila halmashauri nchini kuhakikisha kuwa inatenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya damu ili kuwezesha wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo kuipata na kuepusha kupoteza maisha ya watu hususan wajawazito na watu walioathirika na ajali.

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yatangaza kutenga bajeti zaidi kwenye tafiti za afya.

 Naibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi, Mh. Anne Kilango  akisisitiza jambo  mbele ya  Madaktari na wanafunzi wa udaktari kutoka Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) waliohudhuria Mkutano Mkuu wa tatu wa sayansi ya afya ulioandaliwa na chuo hicho  jijini Dar es Salaam jana. Kwenye mkutano huo wa siku mbili huku ukilenga  kujadili masuala ya tafiti kwenye sayansi ya afya, Mh. Kilango alimuwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr...

 

9 years ago

Dewji Blog

Halmashauri, Wilaya na Majiji yaagizwa kutenga bajeti ya kugharamia huduma za watu wenye Albinisim

IMG_6311

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2015, Juma Khatib Chum,akizindua mradi wa kilimo cha umwangiliaji cha vitunguu kijiji cha Nkungi wilaya ya Mkalama.Chum aliagiza vijana waache kukaa vijiweni na badala yake waelekeze nguvu zao katika shughuli mbalimbali zitakazowapatia kipato ikiwemo kilimo cha umwangiliaji.

IMG_6352

Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Fadhili Nkurlu, akizungumza na wakazi wa kijiji cha Dominiki wakati mbio za mwenge wa uhuru.

IMG_6379

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru 2015, Juma...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi Rukwa Waunga mkono Serikali Kutenga Bajeti Maalum Kukabiliana Vifo vya Uzazi

Daktari Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, John William Gurisha akitoa takwimu za afya ya Uzazi Mkoani Rukwa katika maadhimisho hayo. Daktari Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, John William Gurisha akitoa takwimu za afya ya Uzazi Mkoani Rukwa katika maadhimisho hayo.Washiriki anuai kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika picha za matukio. Washiriki anuai kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika picha za matukio.Baadhi ya washiriki wa sherehe za maadhimisho hayo ya siku ya Utepe Mweupe. Baadhi ya washiriki wa sherehe za maadhimisho hayo ya siku ya Utepe MweupeMkurugenzi Mkazi wa Shirika la Evidence for Action Tanzania, Craig John Ferla, kupitia kampeni ya Mama Ye akichangia damu.Zaidi ya chupa 970 za damu zilipatikana katika maadhimisho ya wiki ya utepe mweupe. Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Evidence for Action Tanzania, Craig John Ferla, kupitia kampeni ya Mama Ye akichangia damu.
Zaidi ya chupa 970 za damu zilipatikana katika maadhimisho ya wiki ya utepe mweupe.[/caption] ZAIDI ya...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kutenga bajeti ya kununua vifaa tiba ili Kupunguza Vifo Vya Watoto

 

SERIKALI imepewa changamoto ya kutenga fedha katika bajeti yake na kununua vifaa tiba pamoja na dawa zitakazosaidia kupunguza au kuondoa kabisa vifo vya watoto wachanga hapa nchini ambapo ripoti mbalimbali zinaonyesha mwaka jana pekee imefikia watoto elfu kumi na tatu.

Changamoto hiyo imetolewa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation muda mfupi baada ya kukabidhi vifaa vitakavyosaidia kuokoa maisha ya watoto wachanga hususani watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa.

Ndani ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti SMZ kodi juu

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) jana iliwasilisha bajeti yake ya Sh708.8 bilioni kwa mwaka 2014/2015 ambazo ni pungufu mara 28 ya Bajeti ya Jamhuri ya Muungano ya Sh19.7 trilioni inayotarajiwa kuwasilishwa mwishoni mwa Juni mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani