Halmashauri, Wilaya na Majiji yaagizwa kutenga bajeti ya kugharamia huduma za watu wenye Albinisim
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2015, Juma Khatib Chum,akizindua mradi wa kilimo cha umwangiliaji cha vitunguu kijiji cha Nkungi wilaya ya Mkalama.Chum aliagiza vijana waache kukaa vijiweni na badala yake waelekeze nguvu zao katika shughuli mbalimbali zitakazowapatia kipato ikiwemo kilimo cha umwangiliaji.
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Fadhili Nkurlu, akizungumza na wakazi wa kijiji cha Dominiki wakati mbio za mwenge wa uhuru.
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru 2015, Juma...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo06 Jan
Halmashauri zatakiwa kutenga bajeti damu salama
SERIKALI imezitaka kila halmashauri nchini kuhakikisha kuwa inatenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya damu ili kuwezesha wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo kuipata na kuepusha kupoteza maisha ya watu hususan wajawazito na watu walioathirika na ajali.
9 years ago
StarTV12 Nov
Halmashauri ya Tanga yaagizwa kuandaa mipango ya ujenzi wa hospitali ya wilaya.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza aagiza halmashauri ya wilaya ya Mkinga kumueleza namna watakavyojenga hospitali ya wilaya ifikapo mwezi Januari mwaka kesho.
Mahiza ambaye amehamishiwa hivi karibuni katika mkoa huo akitokea mkoani Pwani amesema ni jambo la aibu kwa halmashauri ya Mkinga ambayo imeanzishwa miaka mingi iliyopita kukosa hospitali ya wilaya.
Halimashauri ya wilaya ya Mkinga iliyoanzishwa kwa takribani miaka sita iliyopita kwa lengo la kusogeza huduma karibu na...
10 years ago
Dewji Blog27 Apr
Tume ya Haki za Bindamu nchini yatoa mikakati dhidi ya mapambano ya mauaji kwa watu wenye Albinisim
Mwenyekiti wa tume ya Haki za Binadamu nchini, Bwana Bahame Tom Mukirya -Nyanduga (katikati) akiongea na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wao juu ya taarifa ya wadau kukomesha tatizo la mauaji kwa watu wenye Albinisim nchini. Mkutano huo na wandishi wa habari ulifanyika Idara Habari Maelezo,n mwishoni mwa wiki.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Tume ya Haki za Bindamu nchini, inatarajia kufanya tukio kubwa la Kitaifa katika maeneo ya Kanda ya Ziwa Tarehe 13 mwezi Juni...
10 years ago
Vijimambo19 Feb
BODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAZITAKA HALMASHAURI ZA WILAYA DODOMA KUCHAGUA WAKANDARASI WENYE UWEZO
10 years ago
Habarileo21 Apr
Halmashauri zahimizwa kutenga maeneo ya ujenzi
SERIKALI imezitaka halmashauri zote nchini kutenga maeneo mahususi kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi pamoja na wananchi wanaoishi katika maeneo husika.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-A6Vm_ltNkH8/Xu0CwV7AlGI/AAAAAAALuq8/A9Vk0sKUUc4lest2ieD50muK5oIGL2v4QCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA-A-2048x1365.jpg)
CUAMM YAJENGA JENGO LA HUDUMA KWA WATU WENYE VVU SIMIYU
![](https://1.bp.blogspot.com/-A6Vm_ltNkH8/Xu0CwV7AlGI/AAAAAAALuq8/A9Vk0sKUUc4lest2ieD50muK5oIGL2v4QCLcBGAsYHQ/s640/PICHA-A-2048x1365.jpg)
Makamu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Padri Kizito Nyanga (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Huduma za tiba na matunzo kwa watuwanaoishi na Virusi vya Ukimwi (CTC) Juni 18, 2020 lililojengwa kwa msaada wa Shirika lisilo la Kiserikali la Doctors With Africa- CUAMM kupitia mradi wa Test and Treat; katika Zahanati ya Old Maswa inayomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga (Kulia) Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt....
11 years ago
Habarileo31 Dec
SMZ yatakiwa kutenga bajeti ya malaria
NCHI washiriki wa maendeleo na mashirika ya Kimataifa wameitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kuchangia katika mapambano dhidi ya malaria kwa kutenga bajeti ya fedha kwa mwaka na kuhakikisha ugonjwa huo unatokomezwa moja kwa moja.
10 years ago
MichuziBODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAZITAKA HALMASHAURI ZA WILAYA DODOMA KUCHAGUA WAKANDARASI WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WANAPOTOA KANDARASI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA