Halmashauri ya Tanga yaagizwa kuandaa mipango ya ujenzi wa hospitali ya wilaya.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza aagiza halmashauri ya wilaya ya Mkinga kumueleza namna watakavyojenga hospitali ya wilaya ifikapo mwezi Januari mwaka kesho.
Mahiza ambaye amehamishiwa hivi karibuni katika mkoa huo akitokea mkoani Pwani amesema ni jambo la aibu kwa halmashauri ya Mkinga ambayo imeanzishwa miaka mingi iliyopita kukosa hospitali ya wilaya.
Halimashauri ya wilaya ya Mkinga iliyoanzishwa kwa takribani miaka sita iliyopita kwa lengo la kusogeza huduma karibu na...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog06 Oct
Halmashauri, Wilaya na Majiji yaagizwa kutenga bajeti ya kugharamia huduma za watu wenye Albinisim
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2015, Juma Khatib Chum,akizindua mradi wa kilimo cha umwangiliaji cha vitunguu kijiji cha Nkungi wilaya ya Mkalama.Chum aliagiza vijana waache kukaa vijiweni na badala yake waelekeze nguvu zao katika shughuli mbalimbali zitakazowapatia kipato ikiwemo kilimo cha umwangiliaji.
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Fadhili Nkurlu, akizungumza na wakazi wa kijiji cha Dominiki wakati mbio za mwenge wa uhuru.
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru 2015, Juma...
5 years ago
CCM BlogSIKONGE YAAGIZWA IANZE KUTIBU WANANCHI KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YAKE
Kauli hiyo imeolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Peres Magiri wakati akitoa salamu za Serikali katika Kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya tatu
Alisema wakati wakiendelea kusubiri vifaa tiba na vifaa vingine kwa ajili ya Hospitali hiyo ya Wilaya ni vema wakaanza na utoaji wa huduma za matibabu kwa...
10 years ago
VijimamboHALMASHAURI YA wILAYA YA rUNGWE YAJIPANGA KUMALIZA UJENZI WA MAABARA KWA WAKATI.
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Crispin Meela akitoa neno la shukrani baada ya kupokea msaada wa saruji na Silingbodi zenye thamani ya shilingi Milioni 4.7 kwa ajili ya ujenzi wa maabara Wilayani Rungwe.
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe akipokea msaada wa Mifuko 100 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya State Grid Company Limited, Mhandisi Andrew Mwaipaja wanaoshughulikia mradi wa umeme vijijini(REA).
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe akipokea msaada wa Siling bodi kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya State Grid Company...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-71CTNYK6aHU/XneICKv7FsI/AAAAAAALkuk/G9BTXUTWDYs_F2WsOM_a2jz_InX_eJhmgCLcBGAsYHQ/s72-c/8481e20e-497e-40ce-8dc5-bfbd031a65b4.jpg)
DKT. NDUNGULILE APONGEZA KUKAMILIKA KWA UJENZI HOSPITALI YA WILAYA YA KIBAHA
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndungulile amepongeza wataalamu wa afya mkoani Pwani kwa kukamilisha ujenzi wa Hospitali mpya ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mjini ambayo kwa sasa itatumika kulaza wagonjwa watakaobainika kuwa na maambukizi ya homa ya Corona.
Dkt. Ndungulile ameyasema hayo wakati alipotembelea hospitali hiyo na kuwataka wataalamu kujipanga vizuri ili kukabiliana na ugonjwa huo hasa ikizingatiwa Wilaya ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-71CTNYK6aHU/XneICKv7FsI/AAAAAAALkuk/G9BTXUTWDYs_F2WsOM_a2jz_InX_eJhmgCLcBGAsYHQ/s72-c/8481e20e-497e-40ce-8dc5-bfbd031a65b4.jpg)
Dkt. Ndungulile apongeza kukamilika kwa ujenzi hospitali Wilaya ya Kibaha.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndungulile amepongeza wataalamu wa afya mkoani Pwani kwa kukamilisha ujenzi wa Hospitali mpya ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mjini ambayo kwa sasa itatumika kulaza wagonjwa watakaobainika kuwa na maambukizi ya homa ya Corona.
Dkt. Ndungulile ameyasema hayo wakati alipotembelea hospitali hiyo na kuwataka wataalamu kujipanga vizuri ili kukabiliana na ugonjwa huo hasa ikizingatiwa Wilaya ya...
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI
10 years ago
MichuziMBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-W5rNcOAdNvw/Xm4Zik7adxI/AAAAAAALjv0/UtVw0V1MqxgrWKoHHNt1z6MO0hb7HVgmwCLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed-1-4.jpg)
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa yafanya ukaguzi na kuridhishwa na ujenzi wa hospitali halmashauri ya Mbulu
![](https://1.bp.blogspot.com/-W5rNcOAdNvw/Xm4Zik7adxI/AAAAAAALjv0/UtVw0V1MqxgrWKoHHNt1z6MO0hb7HVgmwCLcBGAsYHQ/s1600/unnamed-1-4.jpg)
Muonekano wa baadhi ya majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Halmashauri ya Mbulu.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/unnamed-2-2.jpg)
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe Mwita Waitara akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji Hudson Kamoga.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/unnamed-3-1.jpg)
Naibu Waziri Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Mary Mwanjelwa akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji Hudson Kamoga.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/unnamed-4-1.jpg)
Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe Daniel Mtuka(aliyeshika simu), Mbunge wa jimbo la Kilolo Mhe Venance Mwamoto(wa tatu kutoka kushoto), Mbunge wa jimbo la Kyerwa Mhe Innocent...