Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JACK: WAUME ZA WATU WATATUUA

Na Imelda Mtema
Staa aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan amefunguka kuwa mastaa wamepachikwa nembo ya kuwa ni vinara wa kubeba waume za watu jambo ambalo linawapa sifa mbaya. Staa aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan. Akizungumzia mwenendo wa mastaa wengi kuhusishwa na skendo ya kutembea na waume za watu, Jack alisema:
“Yaani sisi mastaa tumepachikwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAYUU AKOMALIA WAUME ZA WATU

Stori: Mayasa Mariwata
MSANII kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’ amesema kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria ya dini yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu. Rahma Bagenzi ‘Rayuu’. Akipiga stori na paparazi wetu, Rayuu alisema kipindi cha nyuma aliwahi kutoka kimapenzi na mume wa mtu (hakumtaja jina) na kufikia hatua ya kufikishwa polisi na...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wolper Ajitapa Kukwapua Waume za Watu

MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa kuwa haoni tatizo kuchukua mume wa mtu kwani wanaoibiwa ni wadhaifu.

Akifafanua kauli yake, Wolper alisema, kumekuwa na malalamiko mengi ya mastaa wa kike kuhusu kuibiana mabwana kitu ambacho yeye anaamini kwamba kama ukiwa mbunifu huwezi kuibiwa, wanaoibiwa wasilalamike.

“Bibi eeeh acha waseme. Mimi nikikuibia bwana ujue nimekuzidi ujanja inabidi uwe tu mpole siyo kuanza kuchongachonga tu kwa watu,” alisema...

 

10 years ago

GPL

TIKO: WAUME ZA WATU SASA BASI!

Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Tiko Hassan amesema ameamua kuachana na tabia ya kuwa kimapenzi na waume za watu kwani ameona wanachosha na uhusiano huo hauna uhuru tofauti na ule wa aliye singo. Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan. Akipiga stori na paparazi wetu, Tiko alisema ameamua kuachana na uhusiano wa kimapenzi na waume za watu kwani alikuwa na mume wa mtu lakini hakuona faida yoyote zaidi ya kukosa uhuru...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AFUNGUKIA SKENDO YA KUPORA WAUME ZA WATU!

Makala:hamida hassan Wiki iliyopita katika Exclusive Interview tuliona sehemu ya kwanza ya Rose Ndauka alivyoeleza kuwa aliwamwaga wanaume na kutulia na Maliki. Wawili hao kwa sasa wanaogelea katika penzi zito na mikakati thabiti ya ndoa imeshaanza, wanatarajia kuoana baadaye mwaka huu. Msanii wa Bongo Muvi, Rose Ndauka. Leo tunaendelea, atafungukia skendo za kupora waume za watu.
Risasi: Kuna taarifa zilienea kuwa uliwahi...

 

11 years ago

GPL

SNURA AELEZA KINACHO-WAPONZA WEZI WA WAUME ZA WATU

Stori: Gladness Mallya MAMAA Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa kinachowaponza wanawake wengi wanaoiba wanaume za watu ni kupenda kujitangaza. Akizungumza kupitia Global Online TV (itaruka leo mtandaoni), Snura alisema kwa kulitambua hilo ndiyo maana aliwatonya kuwa ukiiba mume wa mtu fanya siri katika wimbo wa Nimevurugwa.
“We ni mwizi halafu unatangaza kila sehemu unatafuta nini kama siyo matatizo na mwenye...

 

10 years ago

GPL

ESTER JAMANI MASTAA ACHENI KUIBA WAUME ZA WATU!

Gladness Mallya Funguka! Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake katika kiwanda cha filamu Bongo, Ester Kiama ameibuka na kuwachana mastaa wa kike wanaopenda kuiba waume za watu kwamba waache kwani si tabia nzuri. Ester Kiama. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Ester alifunguka kuwa mastaa wanaochukua waume za watu, tabia zao siyo nzuri na kibaya zaidi wakishawachukua wanajigamba ili watu wawaone wako juu mjini wakati hawana lolote....

 

10 years ago

Michuzi

DKT IZAC MARO WA CLOUDS FM AMLILIA JACK WA NJIAPANDA ALIYEUWAWA KIKATILI NA WATU WASIOJULIKANA HIVI KARIBUNI

JACKLINE MASANJA A.K.A JACK WA NJIAPANDA ENZI ZA UHAI WAKE.Ilikua ni miaka kumi iliyopita (10) mwaka 2004, nikiwa ndio kwanza nimeanza kufanya kazi chini ya kaka yangu Dr Sebastian Ndege na chini ya uangalizi wa karibu sana wa boss Ruge Mutahaba na Boss Joseph Kussaga nilipokutana na wewe mdogo wangu Jackline Masanja kupitia Njiapanda ulipokuwa unatafuta msaada ukiwa mgonjwa sana. 
Nakumbuka Dr Sebastian Ndege alipokuona tu alikubaliana na mimi kuwa tuache kila mpango tuliokua nao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashabiki wa Skylight Band kusheherekea Birthday ya Mr. Jack’s huku wa wakikaribishwa na SHOT za Jack Daniel’s leo

IMG-20140911-WA0023

Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.

DSC_0159

Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam, huku usiku wa leo wataungana na mashabiki wake kusheherekea Birthday Mr. Jack’s huku mlangoni wakipata SHOT za Jack Daniel’s kusindikiza usiku huo.

DSC_0036

Divas wa Skylight Band wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band

DSC_0002

Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel’s akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel’s kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack’s kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.

DSC_0014

Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani