DKT IZAC MARO WA CLOUDS FM AMLILIA JACK WA NJIAPANDA ALIYEUWAWA KIKATILI NA WATU WASIOJULIKANA HIVI KARIBUNI
JACKLINE MASANJA A.K.A JACK WA NJIAPANDA ENZI ZA UHAI WAKE.Ilikua ni miaka kumi iliyopita (10) mwaka 2004, nikiwa ndio kwanza nimeanza kufanya kazi chini ya kaka yangu Dr Sebastian Ndege na chini ya uangalizi wa karibu sana wa boss Ruge Mutahaba na Boss Joseph Kussaga nilipokutana na wewe mdogo wangu Jackline Masanja kupitia Njiapanda ulipokuwa unatafuta msaada ukiwa mgonjwa sana.
Nakumbuka Dr Sebastian Ndege alipokuona tu alikubaliana na mimi kuwa tuache kila mpango tuliokua nao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies01 May
11 years ago
Habarileo13 Jan
Watu wasiojulikana wahujumu gridi ya Taifa
WATU wasiojulikana wilayani Kahama, wameangusha nguzo mbili kubwa za chuma zinazosafirisha umeme wa gridi ya Taifa na kuchukua baadhi ya vyuma. Hali hiyo imesababisha maeneo kadhaa mikoa ya Mwanza, Geita na Shinyanga kukosa umeme.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Wamasai wala mkong’oto na watu wasiojulikana ZNZ
Habari tulozipata si muda mrefu kwamba Wamasai wamepewa kichapo na watu wasiojulikana Kundi la Wamasai 8 walikuwa katika ghasia hizo ambapo walikuwa wakishambuliwa ba kundi la Ubayaubaya. Ugomvi ulianzia mitaa ya Darajabovu ambapo Wamasahai hao walikabiliana […]
The post Wamasai wala mkong’oto na watu wasiojulikana ZNZ appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
MichuziKIONGOZI WA CHADEMA MKOANI KIGOMBA ASHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA
Na Editha Karlo,Kigoma.
WATU wasiojulikana wamemvamia na kumpiga pamoja na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia vitu vyenye ncha kali Makamu Mwenyekiti wa uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Magaharibi,Deogratius Liyunga na kupelekea kulazwa...
9 years ago
VijimamboNYUMBA YA NAIBU SHEHA, TIBIRINZI YACHOMWA MOTO NA WATU WASIOJULIKANA
: NYUMBA nyengine ilioko kando mwa nyumba ya naibu sheha, eneo hilo la Tibirinzi, kijiji cha Minazini,...
11 years ago
MichuziSITTA AMJULIA HALI MJUMBE WA BUNGE MAALUM ALIYEJERUHIWA NA WATU WASIOJULIKANA
9 years ago
Vijimambo24 Aug
WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NA KUBOMOA NYUMBA YA MGOMBEA UBUNGE CUF MTWARA.
Wakizungumza kwa masikitiko baadhi ya viongozi wa chama hicho na wanachi wa jimbo la Nanyamba wamesema mazingira aliyotoweka mgombea huyo yanaonyesha wazi kuna mchezo mchafu umefanywa ili...
11 years ago
Michuzi15 May
Mtu mmoja afa kwa kunyongwa na watu wasiojulikana mkoani Pwani
MLINZI Bakari Mape (70) mkazi wa Mlandizi wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani ameuwawa kwa kunyongwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.
Watu hao ambao idadi yao haikuweza kufahamika mara moja walimwua mlinzi huyo kwa kumvunja shingo kisha kuiba kwenye duka ambalo mlinzi huyo alikuwa akililinda.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani humo Kamishna Mwandamizi Msaidizi (SACP) Ulrich Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu...
10 years ago
MichuziKampeni ya #KuraDili2015 kuaza hivi karibuni