Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa akomalia kuunda Tume

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amesisitiza ahadi yake ya kuunda tume ya kuchunguza migogoro ya wakulima na wafugaji wakati akihutubia wananchi wa Matui wilayani hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Waislamu waiomba Serikali kuunda tume ya uchunguzi

Waislamu nchini wametaka kuundwa Tume ya Uchunguzi ya Hijja kutokana na vifo vya mahujaji vilivyotokea mwaka huu wakati wa Ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia.

Waislamu hao wametaka tume hiyo ishirikishe nchi zote ambazo mahujaji wake wamefariki katika hijja ya mwaka huu walipokuwa wakimtupia jiwe shetani eneo la Minna Saudi Arabia.

Wakizungumza kwa mwavuli wa Muungano wa Waislamu wa madhehebu mbalimbali nchini, Masheikh hao wa taasisi tofauti wametoa tamko ambalo pia linapendekeza Serikali...

 

9 years ago

GPL

MKE WA MTIKILA AMUOMBA KIKWETE KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA KIFO CHA MUMEWE

Mke wa marehemu Mch. Mtikila, Georgia Mtikila (katikati) akizungumza na wanahabari. Hapawapo pichani. Wanahabari wakichukua tukio hilo. Georgia Mtikila akisoma taarifa yake pembeni yake…

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa kuunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda

MGOMBEA wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa amesema kwamba iwapo atapata ridhaa ya wananchi ya kuchaguliwa kuiongoza nchi ataunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda nchini ili kutetea na kuboresha maslahi yao.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AENDEKEA NA ZIARA YA KAMPENI MKOANI SHINYANGA LEO, AAHIDI KUUNDA SERIKALI ITAKAYOCHANGAMKIA MAENDELEO YA KUWANUFAISHA WATANZANIA WOTE

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiongozana na aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Ndg. Hamis Mngeja wakiwapungia wananchi wa Mji wa Kahama, wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward...

 

10 years ago

Mwananchi

Mjumbe Tume ya Warioba amvalia njuga Lowassa

Mjumbe wa Iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Humphrey Polepole amesema yupo tayari kufanya kampeni za kumpinga mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa kwa madai kuwa ana doa linalomzuia kuwania nafasi hiyo.

 

9 years ago

GPL

LOWASSA: TUME YA UCHAGUZI INAMPE-NDELEA DK. MAGUFULI

Brighton Masallu MGOMBEA wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Ngoyai Lowassa, amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imeonesha dalili za kumpendelea mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli katika matokeo ya nafasi ya urais. Mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama cha...

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa: Nitaunda tume ya mikataba ya gesi asilia

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amewaahidi wakazi wa Mtwara kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais, ataunda tume maalumu kuchunguza mikataba ya gesi asilia.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nitaunda tume kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema kuwa ataunda tume ya maridhiano itakayoshughulika migogoro ya wakulima na wafugaji ili kuondokana na matatizo ambayo yamekuwa yakiwasumbua.

 

9 years ago

BBCSwahili

Lowassa aitaka tume imtangaze kuwa mshindi Tanzania

Mgombea urais wa chama cha Chadema Edward Ngoyai Lowassa ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa urais akidai alishinda uchaguzi huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani