Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KADINDA AMUANIKA MPENZI

Na Imelda Mtema
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda ameamua kumuweka wazi mpenzi wake ambaye siku za nyuma alikuwa na mpango wa kufunga naye ndoa mapema mwaka huu lakini kukatokea tofauti kidogo wakahairisha zoezi hilo. Mwanamitindi maarufu Bongo, Martin Kadinda akiwa na mpenzi wake. Akizunguza na  mwandishi wa habari hivi karibuni, Kadinda  aliweka wazi kuwa huyo ndio mke wake mtarajiwa na Mungu akipenda...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAYUU AMUANIKA MWANDANI WAKE

Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’. Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amezua gumzo baada ya picha zake zinazomuonesha akiwa chumbani na mwanaume kuenea mtandaoni, huku kijana huyo akionekana kujichora tatoo yenye jina la mwanadada huyo. Kijana huyo aliyefahamika kwa jina moja la Brown hakuweza kupatikana ili kuthibitisha uhusiano wake na mrembo huyo,...

 

11 years ago

GPL

HAMISA AMUANIKA MCHUMBA WAKE

MAHABA niue! Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto ameamua kumwanika mwandani wake baada ya kumuweka kwenye mitandao ya kijamii  huku akimmwagia sifa kemkem. Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto akila ujana na mpenzi wake. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili baada ya kuvutiwa waya, Hamisa alisema mwanaume huyo ni mtu ambaye anampenda sana na wana malengo ya kuoana muda wowote...

 

10 years ago

GPL

PETIT MAN AMUANIKA MRITHI WA ESMA

Imelda Mtema Mpambe wa staa wa Filamu Bongo, Wema Sepetu, Hamadi Manungwa ‘Petit Man’, juzikati alimuanika rasmi mrithi wa aliyekuwa mkewe, Esma Abdul ‘Esma Platnumz’ baada ya hivi karibuni kuingia kwenye mgogoro wa ndoa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1InnAJr

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanye West amuanika mkewe mtandaoni

Msanii wa muziki Kanye West ameweka msururu wa picha za uchi za mkewe Kim Kardashian West katika mtandao wake wa Twitter.

 

11 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

10 years ago

GPL

OSTAZ JUMA AMUANIKA MKEWE NA MTOTO WAKE

Ostaz Juma (kushoto) akiwa na mkewe Mariamu na mwanae Hayyat Mariamu Daudi Mtoto Hayyan Juma…

 

9 years ago

Global Publishers

Hatimaye Tiwa Savage amuanika sura mwanaye

TIWA

Staa wa muziki kutoka Naija, Tiwa Savage.

BAADA ya kukaa miezi kadhaa bila kuonesha sura ya mtoto wake tangu ajifungue, staa wa muziki kutoka Naija, Tiwa Savage hatimaye ameamua kumuanika sura mwanaye.

imageStaa huyo ambaye ni msichana wa kwanza kuingia Lebo ya Mavin inayomilikiwa na Don Jazzy aliamua kuwapa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi mashabiki wake kwa kuanika sura ya mwanaye ambaye anamfananisha kama mtoto wa Krismasi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara Amuanika Mbaya Wake, Kisa ni Kuolewa na Marehemu Sajuki

Baada ya kipindi kirefu cha tetesi ya staa wa filamu Wastara kuhofia maisha yake, akihisi upo mpango wa kumuangamiza kwa njia mbalimbali ikiwepo ajali, staa huyo amesema tetesi hizo ni kweli na amekwishazitolea ripoti polisi.

Msanii huyo amekiri kupitia eNewz kuwa, ni kweli yupo katika tishio la maisha yake, mhusika mkubwa wa hilo akiwa mwanaume ambaye alikuwa na mahusiano yake wa zamani ambaye hawana maelewano mazuri naye.Wastara amesema kuwa, amekuwa na historia ya mahusiano mabovu na mtu...

 

10 years ago

GPL

MARTIN KADINDA KUOA SOON!

Mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda. Na Laurent Samatta
MBUNIFU wa mavazi Bongo, Martin Kadinda, amesema kuwa baada ya kuishi bachela kwa miaka mingi amepanga kuoa ‘ soon’ mwanamke ambaye ni mpenzi wake wa siku nyingi ili kumaliza maneno ya watu kuwa hajiwezi. Akizungumza na Amani, Kadinda alisema kuwa mwanamke anayemuoa si aliyezaa naye mtoto bali ni mwanamke aliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani