PENNY: MCHUMBA NINAYE ILA NDOA SIYO LEO

Na Hamida Hassan/Ijumaa Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul, ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kusema kuwa anashukuru amepata mchumba ila suala la ndoa siyo la leo wala kesho. Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul, ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’. Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Penny alisema wengi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MCHUMBA NINAYE ILA NDOA SIYO LEO

11 years ago
GPL
RIYAMA: MCHUMBA NINAYE LAKINI…
10 years ago
Vijimambo31 Jul
LOWASSA KWENDA UKAWA SAWA ILA WANASIASA SIYO WA KUWAAMINI!

HAKUNA adui wala rafiki wa kudumu katika siasa. Huu ni msemo ulioasisiwa na mwanadiplomasia wa Israel, Avil Primor ambaye amepata kufanya kazi katika nchi mbalimbali duniani, ikiwemo ubalozi wa nchi yake nchini Ujerumani (1993-99) na katika Umoja wa Ulaya (1987-91).
Alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumzia urafiki kati ya nchi yake na Iran ulivyokuwa. Kabla ya mapinduzi ya nchi hiyo ya Kiarabu ambayo ni taifa la Kiislamu mwaka 1979 yaliyomuweka...
11 years ago
Vijimambo30 Oct
SIYO DHAMBI KUMPENDA MPENZI WA MWENZAKO ILA FANYA HIVI

Hii ni kwa sababu wameingia kwenye penzi na watu ambao si sahihi. Kutokana na mazingira hayo, haiwezi kuwa kitu cha ajabu mume wa mtu kutokea kumpenda sana mke wa mtu au kinyume chake.
Pia...
11 years ago
GPL
SIYO DHAMBI KUMPENDA MPENZI WA MWENZAKO ILA FANYA HIVI…
10 years ago
Bongo502 Feb
Ndoa ya Barnaba na mchumba wake yanukia
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Papa Francis: Ndoa batili, inawezekana, ila…
10 years ago
GPL
JACK DUSTUN: NAISHI NA MCHUMBA KUJIANDAA NA NDOA