BELLA: KILA NIKIBEBA MIMBA ZA KALAMA ZINATOKA

Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda. Hamida Hassan Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amesema kuwa kila anapotega ili apate mimba ya mchumba wake, Karama Bakari ‘Luteni Karama’ zinatoka kitendo ambacho kinamkosesha sana amani. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi kwa sasa, Bella mwenye watoto wawili wakubwa alisema amekuwa akihangaika kuhakikisha anazaa na mpenzi wake huyo lakini ndoto zake zimekuwa zikiyeyuka kwa kuharibika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
BELLA AMFUMANIA KALAMA
10 years ago
Bongo526 Oct
Luteni Kalama kufunga ndoa na mchumba wake Bella
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
9 years ago
Bongo515 Dec
Bella kuja na ‘Christian Bella House of Talents’

Staa wa muziki, Christian Bella ameweka wazi mpango wake wa kuanzisha lebo yake ya muziki ‘Christian Bella House of Talents’ itakayosaidia vijana wenye vipaji vya kuimba.
Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Acha Kabisa’ akiwa na Koffi Olomide hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa anafanya hivyo ili kuwasaidia vijana wanaotaka msaada wake.
“Mpango wangu mkubwa kwa mwaka 2016 ni kuanzisha record label yangu ambayo itaitwa Christian Bella House of Talents,” amesema.
“Itakuwa inasaidia vijana wenye...
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Pesa za kukabiliana na janga la virusi vya corona zinatoka wapi?
5 years ago
Michuzi
MANYANYA AAGIZA BIDHAA ZA SAMAKI ZOTE ZINAZIUZWA NJE YA NCHI KUWEKEWA ALAMA ILI KUONYESHA KUWA ZINATOKA TANZANIA


Wafanyakazi wa kiwanda cha kuchakata samaki cha Tanzania Fish Processors Ltd wakiendelea na kazi ya uchakataji wa samakiwanaosafirishwa na kuuzwa katika nchi mbalimbali
Picha na Eliud Rwechungura – Wizara ya viwanda na Biashara...
10 years ago
Vijimambo
NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO

Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...
11 years ago
GPL
ISABELA, KALAMA WAMWAGANA
11 years ago
GPL
ISABELA: KALAMA AMENITULIZA