MANYANYA AAGIZA BIDHAA ZA SAMAKI ZOTE ZINAZIUZWA NJE YA NCHI KUWEKEWA ALAMA ILI KUONYESHA KUWA ZINATOKA TANZANIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-RCRb0-lSfa0/XsldA4nyjZI/AAAAAAALrY0/zIPOBGqaw54y7vknjfoz5xFs7RhTa-wMwCLcBGAsYHQ/s72-c/2.-1-768x512.jpg)
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella Manyanya{kushoto} akiwaonesha watanzania samaki aliyechakatwa na kiwanda Tanzania Fish Processors Ltd kilichopo mwanza kwa ajiri ya kusafirishwa na kuuzwa katika nchi mbalimbali.
Wafanyakazi wa kiwanda cha kuchakata samaki cha Tanzania Fish Processors Ltd wakiendelea na kazi ya uchakataji wa samakiwanaosafirishwa na kuuzwa katika nchi mbalimbali
Picha na Eliud Rwechungura – Wizara ya viwanda na Biashara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziNdege ya mizigo kuimarisha usafirishaji samaki nje ya nchi
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema mipango ya Serikali kununua ndege ya mizigo utaimarisha usafirishaji wa minofu ya samaki moja kwa moja kwenda nje ya nchi kutokea uwanja wa ndege wa Mwanza.
Waziri Kamwelwe ameyasema hayo Jumatatu Juni Mosi 2020 jijini Mwanza wakati akifungua mkutano wa kupokea mikakati ya pamoja kuondoa vikwazo na kufanikisha biashara ya usafirishaji minofu ya samaki kwenda nje ya nchi hususani mataifa ya Ulaya ambako kumekuwa na...
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Magufuli afuta safari zote za nje ya nchi kuanzia leo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eAkQ2xyNfS4RnXQPciB9ehwDBopXbe8OMKwRKrXoHRc4ETqsPWAfJgdIztEA17zuxIDhtGyMoMkayPUhlvnMzUEfgNh6Riz9/HIV.png)
RAIS ZUMA KUPITISHA SHERIA YA WATU WENYE VVU KUWEKEWA ALAMA SEHEMU NYETI, ITASAIDIA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA UKIMWI?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3w2-GazWNNg/Xr6E4SZTqEI/AAAAAAALqVI/L-l03HrdH5IDP6Kxp6_pfa1YTHjjWkyZgCLcBGAsYHQ/s72-c/aac870a6-c337-4efe-980e-c510f24e7ee3%2B%25281%2529.jpg)
Kitengo cha uhandisi Mitambo kuhakikisha viwango vya bidhaa zinazalishwa ndani na nje ya nchi
*Miradi ya Ujenzi mbalimbali wa Serikali unatumia bidhaa za Viwanda vya ndani kutokana Viwango kufikiwa
Na Ripota wetu-Michuzi TV.
Kitengo Cha Uhandisi wa Mitambo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kimesema kuwa Nondo, Bati na Misumari na bidhaa zingine za kiuhandisi zimekuwa na viwango na kukubalika katika Kanda mbalimbali
Akizungumza na michuzi Tv Afisa Viwango Mwandamizi Kitengo Cha Uhandisi Mitambo wa TBS Joseph Mwaipaja amesema kuwa tangu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3w2-GazWNNg/Xr6E4SZTqEI/AAAAAAALqVI/L-l03HrdH5IDP6Kxp6_pfa1YTHjjWkyZgCLcBGAsYHQ/s72-c/aac870a6-c337-4efe-980e-c510f24e7ee3%2B%25281%2529.jpg)
Kitengo cha uhandisi Mitambo (TBS) kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa ndani na nje ya nchi zinakidhi kiwango husika
![](https://1.bp.blogspot.com/-3w2-GazWNNg/Xr6E4SZTqEI/AAAAAAALqVI/L-l03HrdH5IDP6Kxp6_pfa1YTHjjWkyZgCLcBGAsYHQ/s640/aac870a6-c337-4efe-980e-c510f24e7ee3%2B%25281%2529.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-_7_-d-Uav3E/Xr6E4G9b7oI/AAAAAAALqVE/ZdM6LFA9sZUeBijkunpG7J3l7j9LvJUdQCLcBGAsYHQ/s640/aac870a6-c337-4efe-980e-c510f24e7ee3.jpg)
5 years ago
MichuziMBUNGE RITA KABATI AOMBA USHURU WA MAZIWA KUTOKA NJE YA NCHI UONGEZWE ILI KULINDA VIWANDA VYA NDANI
Aidha, Kabati ameipongeza Kampuni ya Kuzalisha Maziwa ya ASAS ya mjini Iringa kwa kutumia fursa ya kuongeza ushuru wa bidhaa kwa kuzalisha maziwa mengi.
Kabati ametoa ombi na pongezi hizo Bungeni jiini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa na Waziri wa Luhaga Mpina.
Mbunge huyo wa Viti Maalum alisema...
9 years ago
Mtanzania26 Sep
UNECA: Tanzania isiagize bidhaa nje
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
OFISA wa Umoja wa Mataifa Kitengo cha Uchumi Afrika (UNECA), Hopestone Chavula, ameishauri Tanzania kuzalisha bidhaa zenye viwango ili kukwepa kuagiza vitu kutoka nje ya nchi.
Ushauri huo ameutoa jijini hapa jana wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa maendeleo ya viwanda na biashara Afrika kwa mwaka huu iliyofanyika katika Ukumbi wa Dar es Salaam Convention Center.
Chavula alisema watu wengi wamekuwa wakiamini bidhaa zenye ubora ni zile zinazozalishwa nje...
10 years ago
Bongo Movies25 Dec
Mtunsy Awaponda Wadada Wanaojidai Kuwa na Wachumba Nchi za Nje
Muigizaji nguli na muongozaji wa filamu za kibongo, Nice Mohamed “Mtunisy” leo amewatolea uvivu wale wadada amabao wana dai kuwa na wachumba wao wapo nnje ya nchi. Hivi ndivyo alivyofunguka kwenye ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM.
"Duh yaelekea huko nchi za nje kuna WACHUMBA wa dada zetu wengi hapa nchini maana kila mdada ukimuuliza mchumba wake anakuambia yupo NJE cha ajabu miaka inakatika wamuona yupo mwenyewe tu hebu nyie WACHUMBA mlio huko NJE rudini basi muje kuwaoa hawa...
9 years ago
MichuziWAJASIRIAMALI KUONYESHA BIDHAA ZAO JIJINI MWANZA, SEPTEMBA 26, 2015.
Na Dotto Mwaibale
WAJASIRIAMALI zaidi ya 250 wanatarajia kuonyesha bidhaa zao mbalimbali katika kongamano la mafunzo ya ujasiriamali litakalofanyika jijini Mwanza.
Akizungumza na Dar es Salaam leo, Mratibu wa kongamano...