SHOGA AWEKA HISTORIA BONGO
![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO4BmMi5k3J1Ch8L3n44rhhxSwJMfQeij0IxDzMqTqIJTjnEdYch1jzmra8ONwVV6JICbQpzvJV-w9bd7XpcszEC/1shoga.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema na Shani Ramadhani KATIKA tukio linalochukuliwa kama ni la kihistoria kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni, shoga wa Jijini Dar es Salaam, Amos Hamis, maarufu kama Anti Asu, aliyeokoka Agosti mwaka jana, ametangaza nia ya kutaka kuoa katika Kanisa la TAG, Magomeni wiki iliyopita. Amosi alimvalisha pete ya uchumba, Astrida Samatha baada ya kukamilisha taratibu zote za mila na desturi za ukweni na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-qs1AajsLNY0/VE5sjroJjkI/AAAAAAAABuU/ekolL1zhhTk/s72-c/220px-Jakaya_Kikwete.jpg)
Kikwete aweka historia China
Na mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete amesababisha mageuzi makubwa kwa namna Jamhuri ya Watu wa China inavyowapokea viongozi wageni kutoka nje kwa kuwa kiongozi wa kwanza duniani kupokewa rasmi na pikipiki za polisi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-qs1AajsLNY0/VE5sjroJjkI/AAAAAAAABuU/ekolL1zhhTk/s1600/220px-Jakaya_Kikwete.jpg)
Mbali na kupokewa kwa pikipiki, msafara wa Kikwete pia uliongozwa na pikipiki hizo kwa muda wote wa ziara, tofauti na mapokezi ya viongozi wengine katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
Rais Kikwete, ambaye aliwasili China wiki iliyopita kuanza ziara rasmi ya siku sita nchini humo,...
11 years ago
MichuziDIAMOND AWEKA HISTORIA NEW JERSEY
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Sir Nature aweka historia kitabuni
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Juma Kassim ‘Sir Nature’ amesema yupo katika mikakati ya kuandaa kitabu cha historia ya maisha yake ambayo anatarajia kuisambaza hivi karibuni. Kwa mujibu...
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Marta aweka historia kombe la dunia
10 years ago
Habarileo30 Jul
Kikwete aweka historia Chuo Kikuu Australia
RAIS Jakaya Kikwete ametunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria na Chuo Kikuu cha Newcastle cha nchini Australia, akiwa mkuu wa kwanza wa nchi kutunukiwa shahada hiyo chuoni hapo.Sherehe za kumtunuku Rais shahada hiyo zilifanyika jana katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Newcastle.
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Diamond aweka historia tena Dar Live
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.
Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.
Diamond akiwachombeza mashabiki.
Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.
Akiongea na mashabiki.
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.
Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QQjib1NxvgE/XsUmbO72BbI/AAAAAAALq9E/OPgJoXqqVZYuI7PlinhN_HOsa9AVGSq4gCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B2.jpg)
Dkt. Kalemani aweka historia Loya, Tabora
![](https://1.bp.blogspot.com/-QQjib1NxvgE/XsUmbO72BbI/AAAAAAALq9E/OPgJoXqqVZYuI7PlinhN_HOsa9AVGSq4gCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-5j7lQNv9VRA/XsUma8V8ecI/AAAAAAALq9A/gvBpkQDjiGkrUxBj0Pjk6LlbjiihfeXbgCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B3.jpg)
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Mke wa Rais wa Kenya aweka historia London
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRYynYhkyrHbzywdWtNkuzfV72DiEZUr3cbEegDFIvVApUnOVlgpcSflHObxDfrTZk9LOHfuPAa9z4d44SXcCtgv/klose3.jpg)
MIROSLAV KLOSE AWEKA HISTORIA KOMBE LA DUNIA