Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ampongeza Cassper Nyovest kwa kuweka historia, itazame show iliyomletea heshima hiyo (Video)
Kudhihirisha kuwa rekodi aliyoiweka Cassper Nyovest, Jumamosi ya Oct.31,2015 hakikuwa kitu kidogo, Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amempongeza rapper huyo kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa The Dome (sold-out show) ulioko jijini Johannesburg, wenye uwezo wa kuchukua watu 20,000, akiwa mwenyewe bila msaada wa msanii yeyote wa kimataifa. President […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Nov
Wasouth wamponda Rais Jacob Zuma kwa kumpongeza Cassper Nyovest kufuatia kujaza ukumbi unaochukua watu 20,000
![706x410q70ranjeni-heaviness](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/706x410q70ranjeni-heaviness-300x194.jpg)
Pongezi za Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kwa rapper Cassper Nyovest aliyeujaza ukumbi unaochukua watu 20,000 jijini Johannesburg, zimepokelewa kwa hisia tofauti.
Jumamosi iliyopita, Cassper aliweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kuujaza ukumbi huo peke yake. Zuma aliamua kuungana na mamilioni ya mashabiki wa muziki nchini humo kutoa pongezi kwa hatua hiyo.
Kwenye maelezo yake mafupi, Zuma alielezea kufurahishwa na hatua hiyo ambayo mara nyingi imekuwa ikifanikishwa na wasani wa nje...
9 years ago
Bongo502 Nov
Cassper Nyovest aweka historia kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa watu 20,000
![cassper soldout](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/cassper-soldout-94x94.png)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-KMrGqQvz-wg/U4BTrawLmhI/AAAAAAAFktY/cgU4W9j_bQE/s72-c/pre1.jpg)
RAIS KIKWETE AWASILI PRETORIA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE JACOB ZUMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-KMrGqQvz-wg/U4BTrawLmhI/AAAAAAAFktY/cgU4W9j_bQE/s1600/pre1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ie_VJFYFN2M/U4BTr80DnFI/AAAAAAAFktc/anGRX1hQVQo/s1600/pre2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-yXJ2qmtAGsk/U4BTsBA36fI/AAAAAAAFktk/erLnSWG_lPQ/s1600/pre3.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Jg0wNQVSgfU/U4BdHWXDFHI/AAAAAAAFkuM/dc3sRMKFZRo/s72-c/20140524_102810.jpg)
wengi wajitokeza kwenye hafla ya kuapishwa kwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-Jg0wNQVSgfU/U4BdHWXDFHI/AAAAAAAFkuM/dc3sRMKFZRo/s1600/20140524_102810.jpg)
9 years ago
Bongo526 Oct
Rapper Cassper Nyovest wa Afrika Kusini apata deal la kihistoria
11 years ago
Michuzi24 May
9 years ago
Bongo502 Nov
#Filledthedome: Mashabiki wa Cassper Nyovest wamkejeli AKA Instagram baada ya kupost picha ya show yake
![Cassper n AKA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Cassper-n-AKA-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Cassper Nyovest aendelea kula bata Zanzibar na mpenzi wake Boity, aitosa show ya Maftown Heights
![12224667_784132751713827_1656881668_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12224667_784132751713827_1656881668_n-300x194.jpg)
Rapper anayezungumzwa zaidi nchini Afrika Kusini kwa sasa, Cassper Nyovest anaendelea kujipongeza na kufurahia mafanikio baada ya show yake ya #FillUpTheDome kwa vacation ndefu visiwani Zanzibar.
Rapper huyo na mpenzi wake Boity, bado wameendelea kufurahia mandhari za kuvutia za bahari ya Hindi visiwani humo kwenye hoteli za kitalii.
Kurasa zao za Instagram zinaonesha jinsi wanavyofurahia kwenye kisiwa hicho ikiwa ni pamoja na kula vyakula maarufu vya baharini.
Katika hatua nyingine,...