Kikwete aeleza ndoto yake baada ya urais
RAIS Jakaya Kikwete ameeleza ndoto yake baada ya muda wake wa urais kumalizika, kuwa ataanzisha taasisi ya maendeleo, itakayosimamia midahalo, semina na kongamano kwa maendeleo ya taifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboAUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU YAKE IKIWEMO YA KUUZA REDIO YAKE
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema.
Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya kabla ya kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Alisema kuwa ataendelea kufanya kazi zake na mashirika ya kimataifa...
9 years ago
CCM Blog01 Nov
DK. MAGUFULI NA RAIS KIKWETE IKULU BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA URAIS KATIKA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU LEO
Rais Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila pembe ya dunia mshindi wa ...
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Ndoto za wagombea urais
W
agombea urais John Magufuli (CCM), Edward Lowassa (Chadema) na Anna Mghwira (ACT-Wazalendo), wanaendelea kuomba ridhaa ya Watanzania ili kuunda Serikali ya Awamu ya Tano, huku kila mmoja akija na sera anayoamini kuwa ni nzuri na tofauti na mwenzake.
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Zitto: Bado nina ndoto ya urais
Kiongozi wa ACT –Wazalendo, Zitto Kabwe amesema atagombea urais baada ya miaka mitano ijayo.
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Lowassa anaendeleza ndoto yake
Kama kuna mwanasiasa ambaye amedhamiria kuona mwisho wa ndoto yake, basi ni Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu wa kwanza wa Serikali ya Awamu ya Nne na mbunge wa Monduli.
11 years ago
BBCSwahili19 Jun
Je Yaya Toure atatimiza ndoto yake?
Mcheza kiungo cha kati wa Ivory Coast Yaya Toure, anasema kuwa itakuwa ndoto yake kwa timu ya Afrika kucheza fainali ya kombe la dunia nchini Brazil.
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Kijana anaweza kufikia ndoto yake
ASILIMIA kubwa ya watu ukiwauliza kuhusu ndoto zao za baadaye, utashangazwa na mambo makubwa waliyoyabeba moyoni na kwenye fikra zao. Ni wachache kati ya hao ambao watafanya maamuzi ya kuchukua...
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Uchaguzi wa Tanzania 2020: Ndoto ya urais ya Membe imeota mbawa?
Je, Benard Membe ataweza kutafuna mfupa uliomshinda Mrema na Lowassa?
10 years ago
Mwananchi11 Jul
URAIS CCM: Ndoto ya Membe bado ipo upande wake
Dar es Salaam. Kwa mtazamo wa wengi, ilionekana dhahiri kwamba Berbard Membe alikuwa miongoni mwa wanaCCM wenye nguvu kubwa walioomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania