Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DPP amng’ang’ania Shekhe Ponda

MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP) amewasilisha hati ya kupinga ombi la marejeo, lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kwa madai haliruhusiwi kisheria.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwakyembe achachamaa, amng’ang’ania bosi TICTS

Dk Harison Mwakyembe.MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ushushaji mizigo bandarini (TICTS), Paul Wallace na menejimenti yake wanatakiwa kufika leo saa 2:00 asubuhi ofisini kwa Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kutoa maelezo kwa kukiuka Sheria na kutumia viwango vya ubadilishaji fedha za kigeni, tofauti na vile vinavyoelekezwa na Benki Kuu Tanzania (BoT).

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke

 WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-

MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Bukoba ang’ang’ania kiti

LICHA ya kutangaza kujiuzulu kwa agizo la serikali baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Uttouh, kumtia hatiani aliyekuwa Meya wa Manispaa ya...

 

11 years ago

Habarileo

Lipumba ang’ang’ania hoja ya Ukawa

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim LipumbaPAMOJA na mwito wa Rais Jakaya Kikwete, wasomi na wanasiasa wakongwe na mashuhuri nchini, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameweka bayana kuwa chama chake na washirika wengine wanaounda kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hawatorejea kwenye Bunge Maalum la Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

Shekhe Ponda aachiwa huru

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda (mwenye kanzu) akiingia Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam jana kusikiliza kesi inayomkabili. (Picha na Yusuf Badi).MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemwachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi yake.

 

11 years ago

Habarileo

Ombi la Shekhe Ponda latupwa

 Flora Mwakasala MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la mapitio lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kwa kuwa limewasilishwa kinyume cha sheria.

 

11 years ago

GPL

JACK DUSTAN ANG’ANG’ANIA KUZAA NA MZUNGU

Stori: IMELDA MTEMA
Mwanadada Jacqueline Dustan ambaye ni msanii wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus season II, ameonekana kung’ang’ania kuzaa na Mzungu kufuatia maelezo yake kwamba harudi Bongo mpaka atundikwe mimba na mtasha. Jacqueline Dustan. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu akiwa nchini Thailand, Jack alisema uwepo wake nchini humo kwa muda mrefu anajilengesha kwa mwanaume wa...

 

11 years ago

Habarileo

Ombi la Shekhe Ponda kusikilizwa Machi 26

OMBI la marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda, litasikilizwa Machi 26 mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani