Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Nilishiriki kupakia twiga kwenye ndege’

TwigaSHAHIDI wa 20 katika kesi ya utoroshaji wa wanyama hai aina ya twiga kwenda Arabuni, amedai kushuhudia wanyama hao wakipakiwa katika ndege saa nane usiku.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kesi ya kusafirisha twiga kwenye ndege yakwama

UPANDE wa mashitaka katika kesi ya usafirishaji wa wanyama hai aina ya twiga kwenda Doha, Qatar wameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kilimanjaro, kutoa hati ya kukamata mshitakiwa wa kwanza raia wa Pakstani, Kamran Ahmed ambaye hakufika mahakamani.

 

9 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAZINDUA MFUMO MPYA WA KISASA WA USIMAMIZI WA MIZIGO KWENYE VIWANJA VYA NDEGE

SHIRIKA la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.

Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la ETIHAD lazindua mfumo mpya wa kisasa wa usimamizi wa mizigo kwenye viwanja vyake vya ndege

Etihad-Airways-Boeing-787-set-to-fly-to-five-further-destinations-in-2016

Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.

 Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...

 

9 years ago

Mwananchi

Nilishiriki mapambano ya upinzani nikiwa mwandishi wa habari

Nikiwa katika harakati za huku na kule za kuhabarisha umma, kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo nilikutana na mwanataluma wenzangu, Devotha Minja ambaye amekuwa kwenye taaluma ya uandishi wa habari kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA KIWANDA CHA DANGOTE KUANZA KUJENGA GATI LA KUPAKIA CEMENT

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi akijadiliana jambo na Alhaji Aliko Dangote kuhusu ujenzi wa Gati katika Bandari ya Mtwara.Katikati ni Waziri wa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa Mh Hawa Ghasia. Waziri wa Serikali za mitaa na tawala za mikoa Mh Hawa Ghasia (MB) akiwa na viongozi wa serikali na wa mkoa wa Mtwara katika kumpokea Bilionea Alhaji Aliko Dangote ambaye amekuja katika mazungumzo kuhusu kushirikiana na Serikali katika ujenzi wa Gati lakupakilia Cement ilikuwezesha...

 

9 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars yaondoka kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)

 Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi  jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games), kushoto aliyevaa suti ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo.  Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air Tanzania) jana jioni  tayari kwa kuanza safari ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars ‘Kimeeleweka’ wapaa Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)

unnamed (78)Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air
Tanzania) jana jioni  tayari kwa kuanza
safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika
(All African Games).

unnamed (77) Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi  jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games),...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

10 years ago

GPL

DOLPH LUNDGREN AKOJOLEWA KWENYE NDEGE

Mkongwe wa filamu za mapigano kutoka Hollywood, Dolph Lundgren. MKONGWE wa filamu za mapigano kutoka Hollywood, Dolph Lundgren hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu baada ya staa mwenzake wa kituo cha MTV, Matthew Pritchard kumkojolea akiwa ndani ya ndege. Matthew akiwa katika harakati za kumkojolea Dolph (aliyezungushiwa duara). Tukio hilo lilitokea ndani ya ndege binafsi iliyobeba mastaa hao wakiwa na watu wengine wengi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani