MICHEZO YA WUSHU, JUDO KUFANYIKA DAR KIMATAIFA 30-31 AGOSTI
  Rais wa Tanzania Wushu Association (TWA) Mwaram Mitete (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa utamaduni wa China, Liu Dong, na mwenyekiti wa wafanyabiashara wa watu wa China, Jonson Huang.   Wadau wa Wushu, kutoka kulia ni Jonson Huang, Liu Dong, Mwaram Mitete, Katibu Mkuu wa TWA, Gola Kapipi na Makamu wa Rais wa TWA, Kawina Konde.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWaziri Mkuu kuwa mgeni rasmi mashindano ya Kimataifa ya Wushu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa Wushu (Kung fu) yatakayofanyika hapa nchi kuanzia tarehe 30 hadi 31 katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Hayo yamebainishwa na Rais wa Chama cha Mchezo wa Wushu nchini Mwalami Mitete alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Katika taarifa yake Mwalami alisema kuwa mashindano hayo yatajumuisha...
11 years ago
GPLMASHINDANO YA DUNIA YA JUDO, KARATE KUFANYIKA TANZANIA
11 years ago
Michuzi14 Jul
WAZIRI MKUU: KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR AGOSTI
Ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati alipokutana na Watanzania wanaoishi Uingereza kwenye mkutano uliofanyika ubalozi wa Tanzania jijini London.
Waziri Mkuu alisema kongamano hilo ambalo limepangwa kufanyika Agosti 14-15, mwaka huu, linalenga kuitambulisha...
9 years ago
VijimamboMASHINDANO YA KUTUNISHA MISULI KUFANYIKA AGOSTI 29, 2015 JIJINI DAR
10 years ago
GPLMKUTANO BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) KUFANYIKA DAR AGOSTI 27
9 years ago
VijimamboKONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI KUFANYIKA AGOSTI 28-30, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziKONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA
1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...
10 years ago
MichuziKAMATI YA UTENDAJI YA CHAMA CHA HABARI ZA MICHEZO (TASWA) KUKUTANA AGOSTI 7 2015 JIJINI DAR
A; KIKAO KAMATI YA UTENDAJI
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), inatarajiwa kukutana Ijumaa Agosti 7, 2015, Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali yahusiyo michezo na waandishi wa habari za michezo hapa nchini.
Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kitajadili namna bora ambayo chama kinaweza kushiriki kwa kuangalia jinsi ya kuwaunganisha wanamichezo kwa namna mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 25...
10 years ago
GPLTAMASHA LA MICHEZO, AFYA KUFANYIKA JUNI 14 LEADERS JIJINI DAR