MASHINDANO YA KUTUNISHA MISULI KUFANYIKA AGOSTI 29, 2015 JIJINI DAR
Washindi wa mwaka jana wa Mashindano ya kutunisha misuli (The Most Musicular Man Tanzania 2014) wa kwanza kutoka kushoto ni msindi wa pili, Omary Lyombe, mshindi wa kwanza Mohamed Nouma (katikati) na mshindi wa tatu, Erick Majura wakionyesha utunishaji misuli wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Gymkana jijini Dar es Salaam leo. Mbele yao (walioketi) ni waandaaji pamoja na wadhamini wa shindano hilo.
Mratibu wa mashindano ya kutunisha misuli, Mohamed Ali akionyesha kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI KUFANYIKA AGOSTI 28-30, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9sn7BSdig7w/VcsS-J02ypI/AAAAAAAD3FE/SjYa2dVpICI/s72-c/diaspora%2Btentative%2Bprogramme%2B-%2BFinal%2B1-1%2B%25281%2529.jpg)
KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA
1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...
11 years ago
Michuzi14 Jul
WAZIRI MKUU: KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR AGOSTI
Ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati alipokutana na Watanzania wanaoishi Uingereza kwenye mkutano uliofanyika ubalozi wa Tanzania jijini London.
Waziri Mkuu alisema kongamano hilo ambalo limepangwa kufanyika Agosti 14-15, mwaka huu, linalenga kuitambulisha...
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Nauman bingwa kutunisha misuli
MUHAMMAD Nauman, ametangazwa kuwa bingwa wa michuano ya kutunisha misuli iliyofanyika kwa mara ya kwanza nchini toka mwaka 2002 katika Ukumbi wa AT Pj uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam,...
10 years ago
GPLOMARY ABDALLAH BINGWA WA KUTUNISHA MISULI
11 years ago
Mwananchi10 May
Vijana wakimbilia dawa za kutunisha misuli
10 years ago
MichuziMASHINDANO YA BAISKELI KUFANYIKA JIJINI DAR JUNI 14 MWAKA HUU.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ElSwMzscT84/XkakvaHnobI/AAAAAAALdYE/sPUaTlBm64omHwUYBLDFRERL20r1hDxcQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-14%2Bat%2B4.37.04%2BPM.jpeg)
MASHINDANO YA KAIZEN KUFANYIKA JIJINI DAR, WAZIRI WA VIWANDA MGENI RASMI
![](https://1.bp.blogspot.com/-ElSwMzscT84/XkakvaHnobI/AAAAAAALdYE/sPUaTlBm64omHwUYBLDFRERL20r1hDxcQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-14%2Bat%2B4.37.04%2BPM.jpeg)
MASHINDANO ya nne ya KAIZEN kufanyika jijini Dar es Salaam huku mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Wizara ya Viwanda na biashara, Innocent Bashungwa.
Mashindano ya KAIZEN kwa hapa nchini yamekuwa yakifanyika kila mwaka ifikapo Februali, 18, kwa mwaka huu yanalengo la kubadilishana uzoefu na kuhamasisha...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_arPARyx-Vk/XlOqPJdq7lI/AAAAAAALe_o/qfOGUYIKezMetCfhilaQh_Yj3qaKtd8gQCLcBGAsYHQ/s72-c/1d17d89c-8de1-4eff-bf20-1b01fd79a45e.jpg)
MASHINDANO YA GOFU YA TANAPA LUGALO OPEN KUFANYIKA MACHI 14 NA 15 JIJINI DAR ES SALAAM.
Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo ametangaza mashindano ya Tanapa Lugalo Open yanatarajiwa kufanyika Machi 14 na 15 Mwaka huu katika Viwanja vya Lugalo Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwandishi wa hbari hizi Mwenyekiti huyo alisema masindano hayo yalikuwa yafanyike February 29 na Machi Mosi lakini kutokana na baadhi ya Maandalizi kutokamilika imelazimu sasa kusogeza mbele.
“ Tumesogeza mbele ili kutoa fursa ya...