Judo yaomba mashindano Uturuki
TIMU ya taifa ya judo iliyoweka kambi nchini Uturuki imeliomba Shirikisho la Judo la nchi hiyo kushirikisha wachezaji wake katika mashindano ya kuteua wa kuunda timu ya taifa ya nchi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y9Yc5qVXVzQdFpe-4qm8uaZbncz4sgQO44Edzq4lGiwsHL5J9LbyXR6vRicoFu0XIstBpPp4i7NQ-ncqK8KhnnTCyZU4EBKD/1.jpg?width=650)
MASHINDANO YA DUNIA YA JUDO, KARATE KUFANYIKA TANZANIA
Mwenyekiti msaidizi wa UPAM Tanzania, Golandu Yusuph akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Rais wa UPAM Italia,Maurizio Martina, akipunga bendera ya Tanzania. Kushoto ni Golandu Yusuph.…
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-17_OkEbd7pg/Xk01mT_E9_I/AAAAAAALeUs/qUDz4OE0TCIf9qejZOB-PV3w63uri1DKQCLcBGAsYHQ/s72-c/index-3.jpg)
RC MAKONDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI.
![](https://1.bp.blogspot.com/-17_OkEbd7pg/Xk01mT_E9_I/AAAAAAALeUs/qUDz4OE0TCIf9qejZOB-PV3w63uri1DKQCLcBGAsYHQ/s640/index-3.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/b-3.jpg)
************************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davulaglu, Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Prof.Elizabeth Kiondo, Mstahiki Meya kutoka Uturuki, Wawekezaji na Wafanyabiashara zaidi ya 40 kutoka Nchini Uturuki waliokuja Kutazama na kuchangamkia fursa za Uwekezaji wa Viwanda jijini Dar es salaam.Katika Mazungumzo hayo RC Makonda ...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Nyota wa judo wapata vibali Madola
HATIMAYE nyota watatu wa mchezo wa judo ambao awali waliachwa nchini kutokana na majina yao kukosekana mjini Glasgow, wameondoka jana jioni kwa ndege ya Emirates kuelekea nchini Scotland kushiriki michezo...
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76499000/jpg/_76499948_149521834.jpg)
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Jata na ZJA wapinga uteuzi wachezaji judo
Dar es Salaam. Kamati ya Ufundi ya Chama cha Judo visiwani Zanzibar (ZJA) na ile ya Tanzania Bara (JATA) zimeingia katika mgogoro juu ya uteuzi wa mchezaji anayedaiwa kuwa na miaka 45, kwa ajili ya kushiriki michezo ya Jumuiya ya Madola.
10 years ago
GPLMICHEZO YA WUSHU, JUDO KUFANYIKA DAR KIMATAIFA 30-31 AGOSTI
  Rais wa Tanzania Wushu Association (TWA) Mwaram Mitete (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa utamaduni wa China, Liu Dong, na mwenyekiti wa wafanyabiashara wa watu wa China, Jonson Huang.
  Wadau wa Wushu, kutoka kulia ni Jonson Huang, Liu Dong, Mwaram Mitete, Katibu Mkuu wa TWA, Gola Kapipi na Makamu wa Rais wa TWA, Kawina Konde.…
...
11 years ago
MichuziMaalim Seif afungua rasmi wa jengo la maalum la mchezo wa Judo, Gombani Chake Chake,Pemba
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Misri yaomba radhi
Misri imeomba radhi kutokana na tukio la mauaji ya bahati mbaya dhidi ya watalii wakiwemo Raia wa Mexico
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Ruvu yaomba ulinzi viwanjani
Timu ya Ruvu Shooting imelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuimarisha ulinzi viwanjani ili kuzuia kutokea kwa maafa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania