Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIMU YA KARATE YAANZA MAZOEZI YAKE KUJIANDAA NA MASHINDANO YA DUNIA 2021

Na Zainab Nyamka

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate imeanza mazoezi yake kwa ajili ya maandalizi ya kushiriki mashindano ya Dunia ya Karate huko Japani Mwaka ujao.

Mashindano hayo ya Karate ya Dunia yalikuwa yafanyike mwezi Oktoba mwaka huu ,lakini yakaahilishwa kutokana na tahadhari ya Virusi vya Corona.

Michuano hiyo huwa inafanyika kila baada ya Miaka 3,na wakati huu Tanzania pia imepata nafasi ya Kipekee kwa kutoa Jaji wa michuano hiyo ambaye ni (Sensei)Jerome...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate yaanza mazoezi kujiandaa na mashindano ya dunia Japan

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate imeanza Tena mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya kushiriki mashindano ya Dunia ya Karate huko Japani Mwaka ujao.    
Mashindano hayo ya Karate ya Dunia yalikuwa yafanyike mwezi octoba mwaka huu ,lakini yakaahilishwa kutokana na Tahadhari ya Virusi vya Corona. Michuano hiyo huwa inafanyika kila baada ya Miaka 3,na wakati huu Tanzania pia imepata nafasi ya Kipekee kwa kutoa Jaji wa michuano hiyo ambaye ni (Sensei)Jerome Mhagama..  Tumezungumza Jerome...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA KARATE TANZANIA YAJIANDAA KWENDA ALBANIA KUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA

 Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa  Martina Maurizio (kulia), akiwaelekeza jambo wachezaji wa mchezo huo walioko kambini Dar es Salaam jana. Wachezaji sita wa timu hiyo wanatarajia kuondoka Septemba 28 mwaka huu kwenda nchini Albania kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo. Wachezaji hao sita wakiwa wameshika bendera ya timu hiyo. Kulia ni  Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa  Martina Maurizio.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA WIZARA YA AFYA YAANZA MAZOEZI YA MAANDALIZI YA MASHINDANO YA SHIMIWI KATIKA UWANJA WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI DAR ES SALAAM

 Kocha wa timu ya Wizara ya Afya na  Ustawi wa Jamii, Ally Lidengi, akitoa maelekezo kwa wachezaji wa mchezo wa kamba  wakati wa Maandalizi ya Mashindano ya Shimiwi katika uwanja wa Taifa Muhimbili Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza 15 Septembar 2015  Jijini Morogoro.
Kocha wa timu ya Wizara ya Afya na  Ustawi wa Jamii, Ally Lidengi, akitoa maelekezo kwa wachezaji hao wakati wa Maandalizi ya Mashindano ya Shimiwi katika uwanja wa Taifa Muhimbili Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza 15...

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA DUNIA YA JUDO, KARATE KUFANYIKA TANZANIA

Mwenyekiti msaidizi wa UPAM Tanzania, Golandu Yusuph akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Rais wa UPAM Italia,Maurizio Martina, akipunga bendera ya Tanzania.  Kushoto ni Golandu Yusuph.…

 

10 years ago

Mwananchi

Vijana, watoto 115 wanaswa mazoezi ya karate Dodoma

Dodoma. Jeshi la Polisi mkoani hapa limefunga vituo vitatu katika eneo la Nkuhungu baada ya kubaini uwepo wa watoto na vijana 115 kutoka mikoa 13, ikiwa ni pamoja na visiwani Zanzibar, waliokuwa wakilelewa kwenye mazingira hatarishi.

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball (U18) yashika nafasi ya tatu mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball baada ya ushindi wa nafasi ya tatu (Bronze Medal) katika mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia la Mchezo wa Baseball Umri chini ya Miaka 18. Mashindano hayo yalifanyika nchini Kenya katika mji wa Meru tarehe 15 - 20 Disemba, 2014 na yalikuwa kutafuta tiketi kwa Bara la Afrika ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika hapo mwakani 2015 katika jiji la Tokyo, Japan.

 

9 years ago

Michuzi

Idara ya Magonjwa ya Dharura Muhimbili Yafanya Mazoezi ya Kujiandaa na Majanga

Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali (EMD) Imefanya mazoezi kwa ajili ya kupambana na majanga ya dharura mara yanapotokea katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Mazoezi hayo yamefanyika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) chini ya Kitengo cha Magonjwa ya Dharura na Ajali na kuwahusisha madaktari, wauguzi wa hospitali hiyo na wataalamu kutoka hospitali nyingine.  Akizungumza katika zoezi hilo, Mkuu wa Idara hiyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Dharura na Ajali, Dk Juma...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya karate.

Na Rose Masaka-MAELEZO Umoja wa Wapiganaji wa Sanaa ya Mapigano Duniani (UPAM) unaandaa shindano la kimataifa la wapiganaji ambalo linatarajiwa kufanyika nchini kati ya Mwezi Desemba mwaka huu na mwanzoni mwa mwaka ujao kutokana na ruhusa itakayotolewa na Serikali kwa mamlaka zinazohusika. Kauli hiyo imetolewa leo na Rais wa UPAM Prof. Maurizi Mardina alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Profesa Mardina amesema kuwa mchezo wa kupigana ni mchezo mzuri ambao unahitaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani