UTEUZI WA WACHEZAJI: Kocha Nooij akumbuka shuka kumekucha...
>Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)Â kuweka bayana kuwa kibarua cha kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij kitasitishwa iwapo timu hiyo itashindwa kufuzu mashindano ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN), Mdachi huyo ameamua kuwaita wachezaji waliopendekezwa na baadhi ya wadau wa soka nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28

Tanzania (Taifa Stars), Mart NooijKocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam, kujiandaa na michuano ya kombe la COSAFA na kuwania kufuzu kwa AFCON na CHAN mwezi Juni mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF amesema, wachezaji 28 aliowaita, amewaona kwa...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
CCM inakumbuka shuka wakati kumekucha
MWANAHARAKATI Martine Luther King, aliwahi kusema, “ukimya wa rafiki yako unaumiza sana kuliko kelele za adui yako”. Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyotakiwa iwe rafiki wa wananchi kwa muda...
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Mart Nooij alia na wachezaji Stars
WAKATI kikosi cha timu ya soka ya Tanzania, Taifa Satrs kikirejea nchini jana kutoka Msumbiji, Kocha Mkuu Mart Nooij, amesema moja ya sababu kuu za kikosi chake kupoteza mechi dhidi...
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Kwa heri Nooij, lakini tatizo letu wachezaji
10 years ago
Mwananchi24 May
Kocha Nooij ajiweka njiapanda TFF
11 years ago
Michuzi
WASIWASI UMEIGHARIMU TAIFA STARS- KOCHA NOOIJ

Taifa Stars iliruhusu bao la kwanza sekunde chache kabla ya kumalizika kipindi cha kwanza katika mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kutafuta tiketi ya kucheza hatua ya makundi iliyochezwa leo (Agosti 3 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa wa Zimpeto hapa Maputo.
Bao hilo katika mechi hiyo...
11 years ago
Michuzi
KOCHA NOOIJ KUTAJA KIKOSI CHA STARS NOVEMBA 4

Nooij atatangaza kikosi hicho mbele ya waandishi wa habari katika mkutano utakaofanyika saa 4.30 asubuhi kwenye ofisi za TFF zilizoko ghorofa ya tatu, Jengo la PPF Tower jijini Dar es Salaam.
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itacheza na...
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Jata na ZJA wapinga uteuzi wachezaji judo
10 years ago
VijimamboCHARLES BONIFACE MKWASA ATANGAZWA KUWA KOCHA MPYA STARS NA NOOIJ AWAGA WATANZANIA