Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mart Nooij alia na wachezaji Stars

WAKATI kikosi cha timu ya soka ya Tanzania, Taifa Satrs kikirejea nchini jana kutoka Msumbiji, Kocha Mkuu Mart Nooij, amesema moja ya sababu kuu za kikosi chake kupoteza mechi dhidi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28


Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya
Tanzania (Taifa Stars), Mart NooijKocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam, kujiandaa na michuano ya kombe la COSAFA na kuwania kufuzu kwa AFCON na CHAN mwezi Juni mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF amesema, wachezaji 28 aliowaita, amewaona kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

UTEUZI WA WACHEZAJI: Kocha Nooij akumbuka shuka kumekucha...

>Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)  kuweka bayana kuwa kibarua cha kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij kitasitishwa iwapo timu hiyo itashindwa kufuzu mashindano ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN), Mdachi huyo ameamua kuwaita wachezaji waliopendekezwa na baadhi ya wadau wa soka nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa heri Nooij, lakini tatizo letu wachezaji

Watanzania ni hodari wa kuwashutumu makocha, walifanya hivyo kwa Marcio Maximo wakimwambia Mbrazili huyo aliwaacha meishiwa kwa kushindwa kumwacha Juma Kaseja, Athuman Idd na Haruna Moshi ‘Boban’ na kwamba hiyo kuwa ndiyo sababu ya Taifa Stars kushindwa kufuzu kwa fainali Afcon 2010, akatimuliwa.

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

11 years ago

Mwananchi

Nooij aita tisa Stars

>Baada ya kuishudia Taifa Stars ikicheza kiwango kibovu na kunyukwa 3-0 na Burundi Jumamosi kocha mpya wa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi itakayochezwa Mei 4, kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

 

11 years ago

Mwananchi

Nooij kuipeleka Stars AFCON

Kocha mpya wa Taifa Stars, Martinus Ignatinus ‘Mart’ Nooij raia wa Uholanzi amesema kazi yake kubwa atakayoanza nayo ni kuhakikisha Stars inafuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika 2015 pamoja mashindano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) 2016.

 

11 years ago

TheCitizen

Nooij: A big mistake to write Stars off

The national soccer team, Taifa Stars, head coach, Mart Nooij, believes that his team should not be written off from making it to the group stage of the Africa Cup of Nations (Afcon) qualifiers.

 

11 years ago

GPL

Nooij amtema Ngassa Taifa Stars

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij. Na Khadija Mngwai
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij, amemuondoa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa katika kikosi chake kitakachoivaa Msumbiji. Mshambuliaji wa timu ya Yanga na timu ya …

 

10 years ago

Mwananchi

Mechi ya lawama kwa Nooij, Stars

Dar es Salaam. Ni mtihani wa kwanza kwa kocha Martin Ignatius Nooij anapoanza safari ndefu na ngumu ya kulinda au kupoteza kibarua chake akiwa na kikosi cha Stars.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani