Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chakua nao walalamikia uteuzi wa JK

CHAMA cha Kutetea Abiria (CHAKUA) kimeungana na baadhi ya taasisi za kidini katika kupinga uteuzi uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kwa kuzibagua taasisi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Chadema Mbeya walalamikia uteuzi wabunge viti maalumu

Uteuzi wa wabunge wa viti maalumu kupitia Chadema umezua taharuki mkoani hapa na Kanda ya Nyanda za Juu kwa ujumla baada ya wanachama na viongozi wa chama hicho kuanza kulalamikia wakidai umetumika upendeleo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Chakua: UDA haina leseni ya usafirishaji

CHAMA cha Kutetea Abiria (Chakua), kimeitaka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kuyakamata magari ya Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), kutokana na kampuni hiyo...

 

10 years ago

StarTV

CHAKUA waitaka Sumatra kuruhusu Daladala kufika Kivukoni.

Na Winifrida Ndunguru,

Dar es Salaam.

 

Chama cha kutetea Abiria Tanzania CHAKUA kimeitaka SUMATRA, Jeshi la polisi usalama barabarani pamoja na Manispaa ya jiji kukifuta kituo cha Mnazi mmoja kuwa cha kuanzia na kumalizia safari na badala yake kirudishwe kama ilikuwa hapo awali.

Aidha CHAKUA kinaishauri serikali kuruhusu mabasi ya njia nyingine kufika barabara ya kivukoni ili kuondoa usumbufu kwa abiria wa kulipa nauli mara mbili.

Suala la baadhi ya mabasi kutoa tiketi ambayo haina...

 

10 years ago

Michuzi

Chama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) YAITAKA SUMATRA KUSHUSHA NAULI KWA DALADALA NA MABASI YA MIKOANI

Mwenyekiti wa Chama cha Kutetea Abiria Taifa(Chakua),Hassan Mhanjama akionyesha barua kwa waandishi wa habari  (hawapo pichani) ambazo wamejibiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka).

Na Chalila Kibuda.
Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) kimesema kuwa kutokana na bei ya mafuta kushuka nchini nauli ya daladala na nauli ya mabasi mikoani inatakiwa kushuka kwa asilimia...

 

10 years ago

Mwananchi

Ufundi nao kukopeshwa

Serikali imeahidi kuangalia utaratibu wa kuanzisha mfumo wa kugharimia elimu ya ufundi nchini ili kuwawezesha wanafunzi kupata mikopo kama wa elimu ya juu. Lengo likiwa ni kuwapata wataalamu wa kutosha katika viwanda na sekta nyingine.

 

9 years ago

Mwananchi

Waandishi nao wanauliza, wajibiwa

Kila wiki ninakutana na wasomaji kati ya 30 na 40 wa magazeti ya Mwananchi, MwanaSpoti na The Citizen. Ni kupitia simu ya kiganjani. Wapo wanaopiga, kutuma ujumbe na wengine kuniandikia baruapepe.

 

10 years ago

Mwananchi

Tusipowalinda polisi nao hawatatulinda

Tumeendelea kushuhudia majanga yakiliandama Jeshi la Polisi nchini kwa baadhi ya vituo vyake kuvamiwa na majambazi na kuporwa silaha, huku askari wake wakiuawa na wengine kujeruhiwa. 

 

10 years ago

Mwananchi

Watayarishaji filamu nao waibuka

Lile sakata la kushushwa kwa bei za filamu, limeingia katika sura mpya baada ya watayarishaji wa filamu nchini kujitokeza na kutoa malalamiko yao kwa Bodi ya Filamu, kuhusu kutoshirikishwa katika vikao vinavyoendelea.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wavuvi walalamikia polisi

WAVUVI wa Kisiwani Mazinga, Kata ya Mazinga wilayani Muleba, Kagera, wamelilamikia Jeshi la Polisi kwa kutoweka ulinzi wa kutosha katika Ziwa Victoria hali inayosababisha wavuvi hao kufanyiwa vitendo vya uhalifu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani