Wavuvi walalamikia polisi
WAVUVI wa Kisiwani Mazinga, Kata ya Mazinga wilayani Muleba, Kagera, wamelilamikia Jeshi la Polisi kwa kutoweka ulinzi wa kutosha katika Ziwa Victoria hali inayosababisha wavuvi hao kufanyiwa vitendo vya uhalifu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Wananchi walalamikia polisi K’njaro
Na Upendo Mosha,Moshi
WANANCHI mkoani Kilimanjaro, walitupia lawama jeshi la polisi mkoani humo kwa kushindwa kudhibiti wimbi la uporoaji wa kutumia silaha na mauaji.
Hatua hiyo, imekuwa siku chacha tu,baada ya mauaji ya mfanyabishara maarufu mjini Moshi, Josephat Mahalo (36) maarufu kwa jina la Tajiri mtoto.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti juzi mjini Moshi,wamesema matukio ya uhalifu yameendelea kushika kasi maeneo mbalimbali ya mkoa huo tofauti na miaka ya hivi...
11 years ago
Habarileo12 Jul
Polisi walalamikia kukosa mashine ya vinasaba
JESHI la Polisi Zanzibar limesema kukosekana kwa mashine ya kuchunguza vinasaba(DNA) kati ya mwanamke na mwanamume ni moja ya vikwazo vikubwa katika kuzipatia ufumbuzi kesi za mimba kwa wanafunzi na wanawake kwa ujumla.
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Wananchi Mwanga walalamikia operesheni ya polisi
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Wavuvi waandamana kupinga uvamizi
ZAIDI ya wavuvi 30 wa Kisiwa cha Mazinga, Kata ya Mazinga wilayani Muleba, wameandamana hadi kituo cha polisi cha wilaya, kulalamikia kutokuwepo ulinzi katika Ziwa Victoria, kiasi cha kutoa mwanya...
10 years ago
Habarileo27 Jan
‘Wavuvi haramu wanahujumu uchumi’
NAIBU waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Kaika Telele ameitaka jamii kutofumbia macho wavuvi haramu kwa kwa vitendo vyao havina tofauti na kuhujumu uchumi.
11 years ago
Michuzi10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Wavuvi 50 wauawa na Boko Haram
10 years ago
BBCSwahili18 May
Wavuvi waagizwa kutowasaidia wahamiaji
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Wizara kuwainua kiuchumi wavuvi
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, imeweka mikakati ya kuwaondoa wavuvi katika umaskini kwa kutoa elimu na mbinu za kujiunga na huduma mbalimbali za jamii. Hayo yalielezwa jijini Dar...