Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara kuwainua kiuchumi wavuvi

WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, imeweka mikakati ya kuwaondoa wavuvi katika umaskini kwa kutoa elimu na mbinu  za kujiunga na huduma mbalimbali za jamii. Hayo yalielezwa jijini Dar...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Jitihada za TBS kuwainua wajasiriamali kiuchumi

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) ni taasisi isiyowachoka wajasiriamali wakubwa, wa kati na wadogo kwa lengo la kuwainua kiuchumi katika uzalishaji wao. Shirika hili limekuwa likitoa mafunzo kwa wajasiriamali namna...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Munde kuwainua kiuchumi wanawake wajasiriamali

MAFANIKIO ya kiuchumi katika suala la kijinsia hutokana na kuwepo kwa elimu ya kujikomboa kwa wanawake na wanaume. Mbunge wa Viti Maalumu Tabora, Munde Tambwe, ni miongoni mwa viongozi wenye...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCBRT kuwainua kiuchumi wanawake waliopona fistula

ASILIMIA 58 ya wanawake wanaojifungua wanajifungulia nyumbani bila ya kuwa na msaada wowote wa kitabibu, jambo ambalo husababisha  kuwa katika hatari ya kuuugua ugonjwa wa fistula kwa kiasi kikubwa.  Fistula...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MIRADI ITAKAYOWEZESHA KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI.

1Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Vijana na kuwataka kutumia elimu na ujuzi walioupata katika mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu katika kuisaidia serikali kutimiza dhamira yake ya kuwainua vijana kiuchumi, wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu kwa Maafisa Vijana jijini Arusha. 2Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uongozi cha Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI) Prof Bonard Mwape akiwaeleza...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE MAGIGE AHIDI KUWAINUA AKINAMAMA KIUCHUMI KUPITIA CATHERINE FOUNDATION

 MA7Mbunge wa viti maalum(uvccm)na mwenyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ya mjini Arusha aliyevalia ushungi mweupe katikati Catherine Magige,akiwa na kikundi cha  akinamamalishe baada ya kuwawezesha vifaa vya upishi kwaajili ya kuendeleza biashara yao ya chakula katika eneo la kilombero jijini Arusha leo ambapo aliwawezesha wanawake wajasiliamili 150 wa jijini Arusha wanaojishughulisha na uuzaji wa mbogamboga,mama ntilie,machinga. 1.Wakina mama wakiwa wanamsikiliza Mbunge wa viti...

 

9 years ago

Michuzi

DKT FENELA MUKANGARA AAHIDI KUWAINUA KIUCHUMI WANANCHI WA KIBAMBA KUPITIA SACCOS

Dkt Fenela Mukangara akizungumza na wana SACCOS wa kata ya Msigani
 akiahidi kuwainua kiuchumi wananchi wa kibamba kupitia SACCOS yao jijini Dar es Salaa jana.
 Baadhi ya akina mama na wana SACCOS wa kata ya Msigani wakimsikiliza Dkt Fenela Mukangara jijini Dar es Salaa jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara, Stemmuco na harakati za kuwainua kielimu Mtwara

MIONGONI mwa mikoa iliyopo nyuma kielimu kwa muda mrefu ni Lindi na Mtwara. Kutokana na fursa zinazojitokea katika mikoa hiyo,  zikiwemo za gesi na mafuta, suala la elimu linapaswa kuwekewa...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA YAENDELEA NA JUHUDI ZA KUWAINUA WANANCHI.

 Meneja Biashara kutoka shirika la Mzinga Morogoro Pingu Kamenyi akiwaeleza wandishi wa habari leo jijini Dar es salaam (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya Shirika hilo katika kipindi cha Miaka kumi ya Serikali ya awamu ya nne ikiwemo uzalishaji wa zana bora  za kilimo na ujenzi zinazolenga kuwainua wajasiriamali wadogo ili waweze kuinua uchumi wao na wa taifa kwa ujumla.  Wa pili kushoto ni Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Luteni Kanali Juma Nkangaa Sipe na wa kwanza...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAZIDI KUWAINUA VIJANA TANZANIA

Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia), akimkabidhi kijana Iddy Abdallah Chilumba, msaada wa mashine ya kubangulia korosho vikiwemo meza, vifaa mbalimbali na pikipiki mpya, kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika hafla iliyofanyika kwenye sehemu yake ya biashara iliyokarabatiwa na Airtel katika Mtaa wa Relwe, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Meneja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani