AIRTEL FURSA YAZIDI KUWAINUA VIJANA TANZANIA

Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia), akimkabidhi kijana Iddy Abdallah Chilumba, msaada wa mashine ya kubangulia korosho vikiwemo meza, vifaa mbalimbali na pikipiki mpya, kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika hafla iliyofanyika kwenye sehemu yake ya biashara iliyokarabatiwa na Airtel katika Mtaa wa Relwe, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Meneja wa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziAIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa
Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa. Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...
10 years ago
Michuzi
Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza


9 years ago
MichuziAirtel yabadilisha maisha ya vijana na Airtel Fursa Tunakuwezesha
10 years ago
GPL
AIRTEL FURSA YAFIKIA VIJANA WA MTWARA
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia), akimkabidhi kijana Godfrey Frank Manjavila, msaada wa pikipiki ya magurudumu matatu aina ya Toyo, malighafi na vifaa mbali mbali vya kutengenezea sabuni, kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika hafla fupi iliyofanyika nyumbani kwao, katika eneo la Shangani, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Mama yake mzazi, Aziza Nachenda (kushoto),...
9 years ago
MichuziVIJANA WA IRINGA WAWEZESHWA NA AIRTEL FURSA
9 years ago
Michuzi26 Nov
AIRTEL FURSA YAWAGUSA VIJANA MKOANI DODOMA
Vijana mkoani DODOMA wameusifu mradi wa Airtel Fulsa ambao umeanzishwa na Airtel Tanzania kwa lengo la kuboresha maisha yao ya kila siku kwa kuwawezesha vijana kuzitambua fursa zinazowazunguka na kuzikamata. Ili kijana aweze kufaidika au kushiriki kwenye Airtel Fursa atatakiwa kutuma ujumbe mfupi kwenda kwa namba 15626 na kuweka maelezo yafuatayo:- Jina, Umri, aina ya biashara na eneo. Pia wanaweza kutuma maombi yao kwa kupitia barua pepe airtelfursa@tz.airtel.com ambapo watatakiwa kutuma...
10 years ago
GPL
AIRTEL FURSA YAWAWEZESHA VIJANA WAJASIRIAMALI DAR
Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (wa pili kulia ), akimkabidhi zawadi ya mashine ya kushonea 'cherehani', kwa Betha Benedict (wa pili kushoto), mkazi wa Bunju Jijini Dar es Salaam baada ya kuwezeshwa na mpango wa Airtel Fursa “Tunakwezeshaâ€. Kushoto ni mama yake Betha na kulia ni Meneja wa Airtel, Fadhili Mwasijeba. Bertha Benedict (watatu Kulia) akionyeshwa na Meneja Huduma wa jamii kwa Airtel...
10 years ago
Michuzi
VIJANA MTWARA WAENDELEA KUWEZESHWA KUPITIA AIRTEL FURSA


9 years ago
GPL
AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI
Mkufunzi kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tanga, Hassani Juma Hassani akitoa mada wakati wa semina ya Airtel Fursa ilivyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa YDCP mkoani Tanga. Meneja mauzo wa Airtel Mkoa wa Tanga, Aluta Kweka akizungumza na wauzaji wa bidhaa za kampuni hiyo wakati wa semina ya Airtel Fursa ilivyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa YDCP mkoani Tanga Meneja mauzo wa Airtel Mkoa wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania