Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi walalamikia kukosa mashine ya vinasaba

JESHI la Polisi Zanzibar limesema kukosekana kwa mashine ya kuchunguza vinasaba(DNA) kati ya mwanamke na mwanamume ni moja ya vikwazo vikubwa katika kuzipatia ufumbuzi kesi za mimba kwa wanafunzi na wanawake kwa ujumla.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MNH walalamikia kukosa mishahara

Wafanyakazi wapya katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH), wamelalamikia kutolipwa mishahara kwa miezi minne sasa, huku uongozi ukishindwa kuwapa majibu ya ufumbuzi wa tatizo hilo.

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM walalamikia tume ya uchaguzi NEC, kufuatia kukosa majimbo manne Tanzania Bara

January

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma:

MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wavuvi walalamikia polisi

WAVUVI wa Kisiwani Mazinga, Kata ya Mazinga wilayani Muleba, Kagera, wamelilamikia Jeshi la Polisi kwa kutoweka ulinzi wa kutosha katika Ziwa Victoria hali inayosababisha wavuvi hao kufanyiwa vitendo vya uhalifu...

 

9 years ago

Mtanzania

Wananchi walalamikia polisi K’njaro

Na Upendo Mosha,Moshi

WANANCHI mkoani Kilimanjaro, walitupia lawama jeshi la polisi mkoani humo kwa kushindwa kudhibiti wimbi la uporoaji wa kutumia silaha na mauaji.

Hatua hiyo, imekuwa siku chacha tu,baada ya mauaji ya mfanyabishara maarufu mjini Moshi, Josephat Mahalo (36) maarufu kwa jina la Tajiri mtoto.

Wakizungumza na MTANZANIA  kwa nyakati tofauti  juzi mjini Moshi,wamesema matukio ya uhalifu yameendelea kushika kasi maeneo mbalimbali ya mkoa  huo tofauti na miaka ya hivi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi Mwanga walalamikia operesheni ya polisi

Moshi. Kamatakamata ya watu wanaoshukiwa kuiba mabomba ya maji nyumbani kwa Waziri mkuu mstaafu, Cleopa Msuya, imeibua malalamiko miongoni mwa wakazi wa Wilaya ya Mwanga.

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI TANZANIA LAKABIDHIWA MASHINE ZA KUWEKA ALAMA SILAHA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi akitoa hotuba kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe kushukuru msaada wa mashine zilizotolewa na Serikali ya Marekani kwa Jeshi la Polisi Tanzania kwa ajili ya kuweka alama silaha. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IJP Ernest Mangu akishukuru kuhusu msaada wa mashine za kuweka alama silaha zilizotolewa na Serikali ya Marekani kwa Jeshi la Polisi Tanzania katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’

jaji-lubuva

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vinasaba ni muhimu kupona Ebola

Vinasaba vya kijeneti katika mwili wa mgonjwa vina mchango kubwa kumwezesha kupona au la

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani