Vinasaba ni muhimu kupona Ebola
Vinasaba vya kijeneti katika mwili wa mgonjwa vina mchango kubwa kumwezesha kupona au la
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Wema: Kupendeza ni Muhimu Ila Kuelimika ni Muhimu Zaidi
Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameandika hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa anapiga kitabu.
“Kupendeza ni muhimu ila kuelimika ni muhimu zaidi. Je, unajaribu kujifunza kitu kipya kila siku?” Wema alihoji na kuendelea “Elimu haina mwisho na mie binafsi najifunza mengi kwa kaka angu….
Jitahidi kujiendeleza kimawazo na hautakwama ukikutana na vikwazo!”…..
Nadhani kila mmoja wetu atauzingatia ujumbe huu, hongera sana Wema.
Mzee wa...
11 years ago
Habarileo12 Jul
Polisi walalamikia kukosa mashine ya vinasaba
JESHI la Polisi Zanzibar limesema kukosekana kwa mashine ya kuchunguza vinasaba(DNA) kati ya mwanamke na mwanamume ni moja ya vikwazo vikubwa katika kuzipatia ufumbuzi kesi za mimba kwa wanafunzi na wanawake kwa ujumla.
11 years ago
Habarileo18 May
Vinasaba vyasaidia serikali kuvuna bil 33.53/- mafuta
VITENDO vya uchakachuaji mafuta vimeweza kudhibitiwa na kuiwezesha serikali kupata mapato ya Sh bilioni 33.53 tangu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) ilipochukua hatua ya kudhibiti mwenendo wa sekta ndogo ya mafuta ya petroli.
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Serikali itoe tamko mbegu za vinasaba — Wadau
WADAU wa sekta binafsi za kilimo nchini wameitaka serikali kutoa tamko pamoja na takwimu za awali kutokana na uchunguzi unaofanywa juu ya matumizi ya mbegu zilizochanganywa vinasaba. Wadau hao walibainisha...
9 years ago
Habarileo22 Dec
Maabara ya vinasaba ya pili Afrika yazinduliwa MUHAS
TANZANIA inatarajiwa kuanza kuokoa mamilioni ya Shilingi yaliyokuwa yakienda nje ya nchi kwa ajili ya uchunguzi wa vinasaba baada ya kuzindua maabara yake ambayo ni ya pili katika Bara la Afrika.
9 years ago
StarTV22 Dec
Mwinyi azindua maabara ya utafiti wa Kutambua Sampuli Ya Vinasaba
Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amezindua maabara ya utafiti wa Vinasaba itakayoiwezesha Tanzania kubaini magonjwa na kuyatibu na hatimaye kupunguza gharama za kusafirisha sampuli kwenda nje ya nchi kwaajili ya uchunguzi.
Tanzania inakua ya pili kwenye nchi za Afrika kuwa na maabara hiyo ya kimataifa baada ya Afrika Kusini na hivyo kunufaika zaidi kupitia nchi nyingine kuleta vinasaba vyao nchini kwajili ya uchunguzi.
Vinasaba ni chembechembe zilizopo kwenye mwili wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-2w_Y7iyCJpQ/XuzEs10uXLI/AAAAAAALupY/G9yJ1KBSiOUsN_-EiagHAzp69Gcr_4YswCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-19%2Bat%2B4.55.54%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
VIJANA WASHAURIWA KUPIMA VINASABA VYA SIKOSELI KABLA YA KUANZISHA MAHUSIANO NA KUOANA
![](https://1.bp.blogspot.com/-2w_Y7iyCJpQ/XuzEs10uXLI/AAAAAAALupY/G9yJ1KBSiOUsN_-EiagHAzp69Gcr_4YswCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-19%2Bat%2B4.55.54%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-P9aUnu8e8zk/XuzEtBUKIDI/AAAAAAALupc/67oU63x6NKgwYKGQUOrO2LlBdF8L7jpBACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-19%2Bat%2B4.55.54%2BPM.jpeg)
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Majimbo 10 ya kufa au kupona