Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM walalamikia tume ya uchaguzi NEC, kufuatia kukosa majimbo manne Tanzania Bara

January

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma:

MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

CCM yazoa majimbo manne Katavi

WAKATI matokeo ya Jimbo la Kavuu mkoani Katavi yakisubiriwa kutangazwa leo, tayari CCM imeshinda katika majimbo mengine manne mkoani humo.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM kupinga matokeo majimbo manne

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimelalamikia utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo uliofanywa kwenye baadhi ya majimbo, hivyo kimekusudia kukata rufaa kupinga matokeo yaliyotangazwa kwenye majimbo manne ambayo ni Mikumi, Kawe, Iringa Mjini na Ndanda.

 

9 years ago

Habarileo

Chadema yatwaa majimbo matatu, CCM manne

Mchuano mkali wa kuwania majimbo 266 ya Tanzania unaonekana ukiwa kati ya chama tawala, CCM na Chadema ambapo hadi mchana huu CCM ilikuwa imejikingia majimbo manne wakati Chadema ikijinyakulia majimbo matatu.

Kwa upande wa CCM, imejipatia majimbo ya Lindi Mjini, Mbinga Mjini, Mbinga Vijijini na Nanyamba wakati Chadema imejihakikishia ushindi katika majimbo ya Tarime Mjini, Tunduma na Buyungu.

Tutaendelea kukujulisha kulingana na matokeo unavyoyapata.

 

9 years ago

Habarileo

CCM kupinga mahakamani matokeo ya majimbo manne

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kutoridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye majimbo ya Kawe, Ndanda, Mikumi na Iringa Mjini na kimesema kitayapinga matokeo hayo mahakamani.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AFANYA ZIARA YA MAJIMBO MANNE LEO MKOA WA MAGHARIBI.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimtwisha ndoo ya maji mama mkazi wa sheia ya Mbuzini,Bi.Khadija Issa Kibwana mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi na salama katika jimbo la Mfenesini,Mkoa wa Magharini.Katika ziara hiyo ambayo ni ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya chama cha CCM ya mwaka 2010,Ndugu Kinana leo ametembelea majimbo manne likiwemo la Bububu,Mfenesini,Dole na Mtoni.Katika ziara hiyo Ndugu Kinana pia ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye.

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA UCHAGUZI KUONGEZA MAJIMBO

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano na Viongozi wa vyama vya siasa ambapo alizungumzia zoezi la kugawa Majimbo ya Uchaguzi. Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Julius Malaba akifafanua njia zitakazotumika katika kugawa majimbo ya uchaguzi kwenye mkutano na viongozi wa vyama vya siasa. Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi akifafanua jambo wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
Profesa Ibrahimu Lipumba akichangia mada wakati wa mkutano wa Tume ya Uchaguzi na...

 

10 years ago

Michuzi

NEC YATANGAZA MAJIMBO MAPYA 26 YA UCHAGUZI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza majimbo mapya ya uchaguzi katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Emmanuel Massaka Globu ya Jamii)
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majimbo 26 mapya ya uchaguzi ambayo yatakuwa na wagombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo...

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yatangaza majimbo mapya uchaguzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) leo imetangaza majimbo mapya ya uchaguzi 26

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani