Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yazoa majimbo manne Katavi

WAKATI matokeo ya Jimbo la Kavuu mkoani Katavi yakisubiriwa kutangazwa leo, tayari CCM imeshinda katika majimbo mengine manne mkoani humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

CCM yakomboa majimbo 13, yazoa 188

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeyarejesha mikononi majimbo ya uchaguzi 13 yaliyokuwa kwenye mikono ya vyama vya upinzani, huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikichukua majimbo 16 yaliyokuwa mikononi mwa chama tawala miaka mitano iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM kupinga matokeo majimbo manne

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimelalamikia utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo uliofanywa kwenye baadhi ya majimbo, hivyo kimekusudia kukata rufaa kupinga matokeo yaliyotangazwa kwenye majimbo manne ambayo ni Mikumi, Kawe, Iringa Mjini na Ndanda.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yatwaa majimbo matatu, CCM manne

Mchuano mkali wa kuwania majimbo 266 ya Tanzania unaonekana ukiwa kati ya chama tawala, CCM na Chadema ambapo hadi mchana huu CCM ilikuwa imejikingia majimbo manne wakati Chadema ikijinyakulia majimbo matatu.

Kwa upande wa CCM, imejipatia majimbo ya Lindi Mjini, Mbinga Mjini, Mbinga Vijijini na Nanyamba wakati Chadema imejihakikishia ushindi katika majimbo ya Tarime Mjini, Tunduma na Buyungu.

Tutaendelea kukujulisha kulingana na matokeo unavyoyapata.

 

10 years ago

Habarileo

CCM kupinga mahakamani matokeo ya majimbo manne

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kutoridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye majimbo ya Kawe, Ndanda, Mikumi na Iringa Mjini na kimesema kitayapinga matokeo hayo mahakamani.

 

10 years ago

Dewji Blog

CCM walalamikia tume ya uchaguzi NEC, kufuatia kukosa majimbo manne Tanzania Bara

January

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma:

MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AFANYA ZIARA YA MAJIMBO MANNE LEO MKOA WA MAGHARIBI.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimtwisha ndoo ya maji mama mkazi wa sheia ya Mbuzini,Bi.Khadija Issa Kibwana mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi na salama katika jimbo la Mfenesini,Mkoa wa Magharini.Katika ziara hiyo ambayo ni ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya chama cha CCM ya mwaka 2010,Ndugu Kinana leo ametembelea majimbo manne likiwemo la Bububu,Mfenesini,Dole na Mtoni.Katika ziara hiyo Ndugu Kinana pia ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye.

 

10 years ago

Mwananchi

MATOKEO YA AWALI: Dk Magufuli anaongoza majimbo tisa, Lowassa manne

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jioni hii imeendelea kutoa matokeo ya awali ya urais katika majimbo 13 ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza kwa majimbo tisa wakati Mgombea wa Chadema, Edward Lowassa anaongoza majimbo manne.

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AANZA ZIARA YA KAMPENI MKOANI MWANZA, AHUTUBIA MAJIMBO MANNE

Pichani juu ni mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi baada ya kusimamishwa barabarani katika Jimbo la Sumve alipokuwa akipita kuelekea Wilaya ya Magu katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Kisesa Jimbo la Magu.
Baadhi ya wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) mkoani Mwanza.

 

10 years ago

Vijimambo

JIJI LA DAR ES SALAAM LAPENDEKEZA MAJIMBO MANNE ZAIDI; VIONGOZI WASEMA WATU NI WENGI MNNO

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadicky, akiongoza kikao cha RCC, Ilala Boma jijini leo Jumanne Mei 26, 2015. Kwa pamoja kikao hicho kilichowaleta pamoja, wabunge wote wa Dar es Salaam, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa Manispaa zote tatu, Temeke, Ilala na Kinondoni, watendaji wa Manispaa hizo, na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wa mkoa, kimependekeza kuongezwa kwa majimbo zaidi ya uchaguzi kwenye jiji hilo lenye wakazi wanaokaribia miulioni 5. Majimbo pendekezwa waliyataja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani