CHAKUA waitaka Sumatra kuruhusu Daladala kufika Kivukoni.
Na Winifrida Ndunguru,
Dar es Salaam.
Chama cha kutetea Abiria Tanzania CHAKUA kimeitaka SUMATRA, Jeshi la polisi usalama barabarani pamoja na Manispaa ya jiji kukifuta kituo cha Mnazi mmoja kuwa cha kuanzia na kumalizia safari na badala yake kirudishwe kama ilikuwa hapo awali.
Aidha CHAKUA kinaishauri serikali kuruhusu mabasi ya njia nyingine kufika barabara ya kivukoni ili kuondoa usumbufu kwa abiria wa kulipa nauli mara mbili.
Suala la baadhi ya mabasi kutoa tiketi ambayo haina...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziChama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) YAITAKA SUMATRA KUSHUSHA NAULI KWA DALADALA NA MABASI YA MIKOANI
Na Chalila Kibuda.
Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) kimesema kuwa kutokana na bei ya mafuta kushuka nchini nauli ya daladala na nauli ya mabasi mikoani inatakiwa kushuka kwa asilimia...
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Kituo cha Kivukoni kurejea — Sumatra
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imewataka wananchi kutosikiliza uvumi kuwa kituo cha daladala Kivukoni hakitarudishwa hadi utakapoanza utaratibu wa mabasi yaendayo kasi. Akizungumza na...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Daladala kurejea Posta, Kivukoni
MAMLAKA ya Usafirishaji Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imetangaza kurejesha safari za daladala kwenda Kivukoni mwishoni mwa mwezi huu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Mfawidhi...
11 years ago
Mwananchi04 Jul
Sumatra yarahisisha usafiri kufika Sabasaba
11 years ago
Mwananchi30 May
Sumatra yafunga kituo cha daladala Mwenge D’Salaam
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HzbY9S4OGWukwFya7XTr59YC9rFWkloYRuOen-GQR8MNdIqsraym5J3oh*jyniPGB2WnBEbEvS4IdzsLw-Vl1JzgLO4M5VTE/10341975_253082864897461_6093383173001738673_n.jpg?width=650)
5 years ago
Bongo514 Feb
Sumatra yatoa ufafanuzi wa nauli za daladala kwa njia ya Makumbusho-Mnazi Mmoja
Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imetolea ufafanuzi wa nauli za daladala kwa njia ya Makumbusho- Mnazi mmoja kupitia Kambarage, Shekilango na Kigogo.
Ifuatayo ni taarifa ya mchanganuo wa nauli za daladala katika maeneo hayo;
Na Emmy Mwaipopo
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Chakua nao walalamikia uteuzi wa JK
CHAMA cha Kutetea Abiria (CHAKUA) kimeungana na baadhi ya taasisi za kidini katika kupinga uteuzi uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kwa kuzibagua taasisi...
10 years ago
Tanzania Daima24 Oct
Chakua: UDA haina leseni ya usafirishaji
CHAMA cha Kutetea Abiria (Chakua), kimeitaka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kuyakamata magari ya Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), kutokana na kampuni hiyo...