Sumatra yarahisisha usafiri kufika Sabasaba
>Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imetoa ruksa kwa daladala zinazofanya safari zake katika njia nyingine kwenda hadi Viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), ili kusaidia usafirishaji wa abiria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YARAHISISHA MAISHA VIWANJA VYA SABASABA
10 years ago
StarTV24 Dec
CHAKUA waitaka Sumatra kuruhusu Daladala kufika Kivukoni.
Na Winifrida Ndunguru,
Dar es Salaam.
Chama cha kutetea Abiria Tanzania CHAKUA kimeitaka SUMATRA, Jeshi la polisi usalama barabarani pamoja na Manispaa ya jiji kukifuta kituo cha Mnazi mmoja kuwa cha kuanzia na kumalizia safari na badala yake kirudishwe kama ilikuwa hapo awali.
Aidha CHAKUA kinaishauri serikali kuruhusu mabasi ya njia nyingine kufika barabara ya kivukoni ili kuondoa usumbufu kwa abiria wa kulipa nauli mara mbili.
Suala la baadhi ya mabasi kutoa tiketi ambayo haina...
11 years ago
Mwananchi28 Jun
USAFIRI: Sumatra yaiamuru Uda kushusha nauli
10 years ago
Habarileo18 Feb
Sumatra yazuia vyombo vya usafiri wa majini
MAMLAKA ya Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imevizuia kutoa huduma kwa muda usiojulikana vyombo vyote vya usafirishaji wa majini vya mkoani hapa hadi hapo vitakapokaguliwa.
10 years ago
Habarileo24 Jun
Wizara yarahisisha mawasiliano
WIZARA ya Nishati na Madini imeandaa mkakati wa mawasiliano katika sekta ndogo ya gesi na mafuta ili kusaidia upashanaji wa habari zinazohusu sekta hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Brela yarahisisha usajili jina la biashara
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) umetangaza kupunguzwa kwa muda wa usajili wa jina la biashara. Sasa usajili wa jina la biashara utafanyika kwa saa nane za kazi...
10 years ago
Tanzania Daima20 Oct
Precision air yarahisisha malazi kwa wateja wake
KATIKA jitihada za kuboresha huduma kwa wateja wake, shirika la ndege la Precision Air (PW), limeingia ubia na tovuti ya Jovago.com barani Afrika kwa ajili ya kurahisisha huduma ya malazi...
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Mamlaka ya usafiri wa anga yadhamini kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la kimataifa la usafiri wa anga — ICAO
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha(kushoto) akiongea wakati wa uzinduzi wa kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye kulenga ufanisi wa wataalamu wa kuongoza ndege vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya kuongonzea ndege. katikati ni Meneja mratibu wa safari za ndege Afrika Frederic Legrand, Kongamano hilo linazihusisha nchi za Afrika linafanyika hapa nchini kwa siku tatu kuanzia leo...
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA YA DHAMINI KONGAMANO LA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (ICAO)