Ufundi nao kukopeshwa
Serikali imeahidi kuangalia utaratibu wa kuanzisha mfumo wa kugharimia elimu ya ufundi nchini ili kuwawezesha wanafunzi kupata mikopo kama wa elimu ya juu. Lengo likiwa ni kuwapata wataalamu wa kutosha katika viwanda na sekta nyingine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo19 Aug
Wastaafu kukopeshwa
BENKI ya Posta Tanzania kwa kushirikiana na Mfuko wa Pensheni wa LAPF, wamezindua mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu.
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Wakulima kukopeshwa pembejeo
SERIKALI imeanzisha utaratibu wa kuvikopesha pembejeo za ruzuku vikundi vya wakulima kupitia vyama vyao vya ushirika kuanzia msimu ujao wa kilimo 2014/2015. Hatua hiyo, imechukuliwa ili kukabiliana na vitendo vya...
10 years ago
Habarileo28 Oct
Wanafunzi vyuoni kuendelea kukopeshwa
SERIKALI imesisitiza kuwa itaendelea kutoa mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wote wenye sifa za kujiunga na vyuo mbalimbali vya elimu bila ubaguzi au kujali kuwa mwanafunzi aliyechaguliwa anakwenda kusoma chuo binafsi au cha serikali.
11 years ago
Habarileo30 Jun
Wanachama LAPF kukopeshwa wasome
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (LAPF) umeanzisha huduma mpya ambayo itasaidia wananchama wake wenye mipango ya kupata elimu ya juu kuweza kujipatia mikopo kwa ajili ya kufanikisha adhama hiyo.
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Wastaafu kuanza kukopeshwa fedha
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Nundu kuwapigania vijana, kinamama kukopeshwa
MBUNGE wa Tanga, Omari Nundu, amesema ataishawishi Halmashauri ya Jiji la Tanga kutenga sh milioni 500 kwenye bajeti yake ya mwaka 2015/2016 kwa ajili ya kuwakopesha kinamama na vijana, ili...
11 years ago
Habarileo21 Jun
Watoa huduma NHIF kukopeshwa bililioni 10/-
BODI ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imeidhinisha Sh bilioni 10 kwa ajili ya kuwakopesha watoa huduma ili waweze kupata vifaa tiba na kukarabati maeneo yao ya kutolea huduma.
9 years ago
Mwananchi20 Nov
HESLB: Wenye sifa ya kukopeshwa wamepata wote
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Umuhimu wa mafunzo ufundi- 4