Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastaafu kuanza kukopeshwa fedha

Wastaafu wanatarajiwa kuanza kunufaika na mikopo ya fedha baada ya zaidi ya Sh13 bilioni zilizotengwa kwa ushirikiano wa taasisi za fedha kuanza kutolewa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wastaafu kukopeshwa

BENKI ya Posta Tanzania kwa kushirikiana na Mfuko wa Pensheni wa LAPF, wamezindua mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu.

 

10 years ago

Mwananchi

NSSF kuanza kukopesha wastaafu wake

 Wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wanatarajia kunufaika na mikopo ya riba nafuu kutoka Benki ya Posta itakayoanza kutolewa kuanzia mwezi huu.

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU KAGERA WALIVYOFANIKISHA KUREJESHA FEDHA ZA WASTAAFU KUTOKA TAASISI YA MIKOPO .

Na Abdullatif Yunus -  Michuzi TV.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa hapa Nchini TAKUKURU Mkoa wa Kagera inaendelea kuchunguza na kubaini Taasisi za kifedha ambazo zinajihusisha na Utoaji wa Mikopo kwa Riba kubwa tofauti na mikataba husika, huku Wananchi wakisahuriwa kukopa Fedha Benki ambazo riba zao ni nafuu.

Ushauri huo uliotolewa na Kaimu Mkuu wa Takukuru,Mkoa wa Kagera,Ndg Hassan W.Mossi ammbae amewataka wananchi na wastaafu kuwa makini pindi wanapokopa kwa kampuni za ukopeshaji, ...

 

5 years ago

Michuzi

Waalimu wastaafu Mkoani Rukwa wadhulumiwa zaidi ya Shilingi milioni 96 fedha za SACCOS

Baadhi ya Fedha zilizopatikana kutokana na kazi ya TAKUKURU Mkoa wa Rukwa na Kurudishwa kwa wahanga.
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Waalimu Nkasi Teachers SACCOS Gideon Ngorogoro kiasi cha Shilingi 39,756,250 kwaajili ya kuzirudisha kwa waalimu wastaafu wa chama hicho.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Waalimu cha Akiba na Mikopo (CHAUWAMI) SACCOS Justin Mwanasimeta Shilingi 56,700,000/=...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema kuanza operesheni mpya kudai fedha za ufisadi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitaendesha operesheni mpya nchi nzima ikilenga kuhamasiaha wananchi kudai kurejeshwa kwa fedha zote ambazo zimeporwa katika kashfa mbalimbali za ufisadi badala ya kuachia wahusika wajiuzulu nafasi zao au wengine kufichwa.

 

11 years ago

Michuzi

CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KUANZA KUJENGA ENEO LA MSATA BAGAMOYO PWANI

Makamu mwenyekiti wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM),Bw. Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakaribia kuanza kujengwa katika eneo la Msata wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani,Chuo hicho kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao elfu thelathini.kulia kwa makamu wachuo ni Mkuu wa chuo cha ifm Profesa Godwin Mjema nakushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo kinacho toa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania Charles Senkondo. uongozi wa...

 

5 years ago

Michuzi

WATOA HUDUMA WA FEDHA KUANZA KUSAJILIWA MWEZI HUU,WAMO MAWAKALA WA PESA KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI





Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa, Kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Bw.Bernard Dadi akizungumza kwenye Semina ya Waandishi wa Habari za Uchumi na Fedha inayoendelea jijini Arusha, kuhusu Kanzidata ya kudumu ya watoa huduma wa kifedha,na ufafanuzi zaidi kuhusukusajiliwa kwa Watoa huduma wa Fedha nchini.

Dadi amesema kuwa usajili huo utakuwa ni wa lazima kwa yoyote atakaye husika na utoaji wa huduma wa Fedha,na kwamba usajili huo unatarajiwa kuanza rasmi Mwezi Machi-Aprili 2020 kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakulima kukopeshwa pembejeo

SERIKALI imeanzisha utaratibu wa kuvikopesha pembejeo za ruzuku vikundi vya wakulima kupitia vyama vyao vya ushirika kuanzia msimu ujao wa kilimo 2014/2015. Hatua hiyo, imechukuliwa ili kukabiliana na vitendo vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani