Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Joto la uteuzi wabunge laanza kupanda Dodoma

Nape-NnauyeNa Bakari Kimwanga, Dodoma

JOTO la uteuzi wa mwisho la kupata wagombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) limezidi kupanda, huku chama hicho kikitangaza uamuzi mgumu kwa wagombea waliocheza rafu na hata kupindua matokeo.

Mbali na hayo, viongozi wa ngazi ya wilaya na mikoa wanaodaiwa kuwabeba kinyume na utaratibu nao wapo hatarini kuvuliwa nyadhifa zao.

Taarifa kutoka ndani ya CCM zililiambia MTANZANIA jana kuwa kikao cha Sekretarieti kilichokutana mjini hapa, kilijadili baadhi ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Joto laanza kupanda CCM

Viongozi wa Kamati Kuu ya CCM.Joto limepanda mjini hapa, ambapo mchujo wa kumpata mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), unaanza rasmi leo, pale Kamati Kuu (CC) itakapochuja majina ya watangaza nia 38 waliochukua na kurejesha fomu na kubakiza watano.

 

5 years ago

Michuzi

JOTO LAZIDI KUPANDA MECHI YANGA NA SIMBA, DAKIKA 90 ZA MCHEZO KUAMUA NANI MBABE

Na Said Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

KADRI muda unavyosonga mbele kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba itakayochezwa leo Machi 8 mwaka huu 2020, saa 11 jioni mashabiki lukuki wameanza kujitokeza katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku kila upande ukiwa umejawa na tambo za ushindi.

Mechi ya Yanga na Simba ni moja ya mechi ambazo zimekuwa na utamaduni mkubwa wa kujaza mashabiki, wapenzi na wachama wa vilabu hivyo hasa kwa kuzingatia ni mechi ambayo hutawaliwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge waota posho kupanda

JINAMIZI la kutaka posho nono kwa watu wanapopewa majukumu ya kufanya kazi mbalimbali za umma linazidi kuwaandama wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambapo juzi walitumiwa ujumbe kuwa zimeongezeka na...

 

11 years ago

GPL

BUNGE MAALUMU LA KATIBA LAANZA MJINI DODOMA

BUNGE Maalumu la Katiba limeanza mkutano wake muda huu ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mjini Dodoma. Kwa sasa wajumbe wa bunge hilo wapo katika mchakato wa kumpata Mwenyekiti wa muda mwenye jukumu la kusimamia na kuongoza Bunge katika kusimamia uandaaji na upitishwaji wa Kanuni za Bunge pamoja na kuendesha uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu watakaopatikana siku ya Ijumaa. ...

 

11 years ago

Michuzi

Bunge maalumu la katika laanza leo mjini dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Frederick Msigallah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo Agosti 5, 2014. 

 

11 years ago

Michuzi

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAANZA TENA LEO MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Samuel Sita akitoa maelezo kabla ya kuanga kwa Bunge hilo katika awamu ya pili nay a mwisho ya 60 zilizobakia katika majadala wa Rasimu ya Katiba Mpya ya Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakianza rasmi Nngwe ya Pili ya Majadala wa Rasimu ya Katiba utakaochukuwa siku sitini kamili Mjini Dodoma. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiingia ndani ya...

 

10 years ago

Habarileo

CCM: Tutakuwa makini uteuzi wabunge

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uteuzi wa wagombea ubunge na uwakilishi, utazingatia yale yaliyofanyika katika uteuzi wa mgombea wao wa urais, na kusisitiza kuwa kuongoza kura za maoni sio mwisho wa safari, bali kigezo cha kuelekea katika uteuzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani