Joto laanza kupanda CCM
Joto limepanda mjini hapa, ambapo mchujo wa kumpata mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), unaanza rasmi leo, pale Kamati Kuu (CC) itakapochuja majina ya watangaza nia 38 waliochukua na kurejesha fomu na kubakiza watano.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Joto la uteuzi wabunge laanza kupanda Dodoma
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
JOTO la uteuzi wa mwisho la kupata wagombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) limezidi kupanda, huku chama hicho kikitangaza uamuzi mgumu kwa wagombea waliocheza rafu na hata kupindua matokeo.
Mbali na hayo, viongozi wa ngazi ya wilaya na mikoa wanaodaiwa kuwabeba kinyume na utaratibu nao wapo hatarini kuvuliwa nyadhifa zao.
Taarifa kutoka ndani ya CCM zililiambia MTANZANIA jana kuwa kikao cha Sekretarieti kilichokutana mjini hapa, kilijadili baadhi ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tShVZUCVrOo/XmTWW3YbyFI/AAAAAAALh4E/XbXqsbpk_3w6FsN5oJJi3_rog8YycnBCwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-08%2Bat%2B13.15.42.jpeg)
JOTO LAZIDI KUPANDA MECHI YANGA NA SIMBA, DAKIKA 90 ZA MCHEZO KUAMUA NANI MBABE
KADRI muda unavyosonga mbele kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba itakayochezwa leo Machi 8 mwaka huu 2020, saa 11 jioni mashabiki lukuki wameanza kujitokeza katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku kila upande ukiwa umejawa na tambo za ushindi.
![](https://1.bp.blogspot.com/-tShVZUCVrOo/XmTWW3YbyFI/AAAAAAALh4E/XbXqsbpk_3w6FsN5oJJi3_rog8YycnBCwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-08%2Bat%2B13.15.42.jpeg)
Mechi ya Yanga na Simba ni moja ya mechi ambazo zimekuwa na utamaduni mkubwa wa kujaza mashabiki, wapenzi na wachama wa vilabu hivyo hasa kwa kuzingatia ni mechi ambayo hutawaliwa...
9 years ago
Mwananchi15 Nov
CCM yapandisha joto la uspika
10 years ago
Mtanzania25 Apr
Spika Makinda apandisha joto la urais CCM
EVANCE MAGEGE NA AGATHA CHARLES
Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema mgombea uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) anatarajiwa kuteuliwa hivi karibuni.
Amesema katika kipindi cha siku chache zijazo vikao vya uteuzi vya CCM vitaanza vikao vyake na vitahitimishwa na mkutano mkuu ambao utateua mgombea wa chama hicho.
Spika Makinda aliyasema hayo jana, wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa siku moja wa Maspika wa Mabuge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT2CNX1ZoCdaBA8Yc1*qYQ9-LQSF79AsIeivmjkTGveCSfJpdhfNsu0HuE**SjC7-AvnYQ8ePwGvuRCcBe2o4mvv/008.jpg?width=650)
USHINDI WA CHADEMA SUMBAWANGA, VIGOGO CCM TUMBO JOTO
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/159.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA ASHIRIKI KUPANDA ZAO LA MWANI BAHARINI
10 years ago
BBCSwahili29 Jul
Tamasha la filam laanza Senegal