Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOTO LAZIDI KUPANDA MECHI YANGA NA SIMBA, DAKIKA 90 ZA MCHEZO KUAMUA NANI MBABE

Na Said Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

KADRI muda unavyosonga mbele kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba itakayochezwa leo Machi 8 mwaka huu 2020, saa 11 jioni mashabiki lukuki wameanza kujitokeza katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku kila upande ukiwa umejawa na tambo za ushindi.

Mechi ya Yanga na Simba ni moja ya mechi ambazo zimekuwa na utamaduni mkubwa wa kujaza mashabiki, wapenzi na wachama wa vilabu hivyo hasa kwa kuzingatia ni mechi ambayo hutawaliwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0

 Timu ya Yanga imeendeleza uteja tena leo katika mchezo wa wahasimu hao uliochezwa uwanja wa taifa leo baada ya timu ya Simba kuibamiza Yanga goli 1 bila majibu goli lililofungwa na Emmanuel Okwi mchezaji aliyeikimbia timu hiyo yenye masikani yake Jangwani katika dakika ya 52. Wachezaji wa Simba na Yanga wakiwa katika mpambano.Mchezaji Simon Msuva akijaribu kufanya mashambulizi goli mwa Simba shuti lake halikuweza kuleta madhara yeyote mpaka dakika 90 Simba 1 na Yanga 0. Picha kwa hisani ya...

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE......

 Kiungo wa timu ya Simba,Amri Kiemba akuchuana vikali na Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Andrey Coutinho wakati wa mtanange wa watani wa Jadi Yanga na Simba uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Geilson Santos "Jaja" akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba wakati wa mtanange wa watani wa Jadi Yanga na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

Simba yaifunga ya 5-4 katika mechi ya nani mtani jembe dubai

Kikosi cha Simba kimetoka kidedea kwa bao 5-4 kwenye match ya watani wa jadi Yanga katika mechi ya Nani Mtani Jembe huko Dubai.Mpambano huo uliokuwa mkali sana ulianza kwa Yanga kupata penalty 2 kwa mpigi lakini moja iliokolewa na goal keeper na nahodha wa Simba Ali Yusuf. Magoli ya Simba yalifungwa na Matama Chesama (DJ Tama) 3, Tariq Mbarak 1,na Thani 1.magoli ya Yanga yalifungwa Yunus 2, Waleed 1, na Kulwa 1.Yanga imeendelea kuwa mteja wa Simba Sports club hadi huko Dubai. Kikosi cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Dakika 45 za mwisho ngumu Simba, Yanga

Wakati mechi ya watani wa jadi ikitarajiwa kufanyika Jumamosi, safu za ulinzi za Simba na Yanga zimeonekana kutokuwa makini, dakika 45 za kipindi cha pili.

 

9 years ago

GPL

VPL: YANGA 2-0 SIMBA, DAKIKA 90 ZIMEKWISHA

Kikosi cha timu ya Yanga Kikosi cha timu ya Simba Mashabiki wa Yanga. Mashabiki wa Simba.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani