Dakika 45 za mwisho ngumu Simba, Yanga
Wakati mechi ya watani wa jadi ikitarajiwa kufanyika Jumamosi, safu za ulinzi za Simba na Yanga zimeonekana kutokuwa makini, dakika 45 za kipindi cha pili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Mar
UDHAIFU: Dakika 45 za mwisho zaiua Yanga SC
10 years ago
VijimamboAUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio)
Leo Dec 28 2015 klabu ya Dar es salaam Young African imetangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana mchezaji Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, Hapa nakukutanisha na mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Jerry Muro akielezea sababu za maamuzi hayo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika […]
The post Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
GPLVPL: YANGA 2-0 SIMBA, DAKIKA 90 ZIMEKWISHA
11 years ago
GPLKocha Simba ataka dakika 180 kuimaliza Yanga
5 years ago
MichuziJOTO LAZIDI KUPANDA MECHI YANGA NA SIMBA, DAKIKA 90 ZA MCHEZO KUAMUA NANI MBABE
KADRI muda unavyosonga mbele kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba itakayochezwa leo Machi 8 mwaka huu 2020, saa 11 jioni mashabiki lukuki wameanza kujitokeza katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku kila upande ukiwa umejawa na tambo za ushindi.
Mechi ya Yanga na Simba ni moja ya mechi ambazo zimekuwa na utamaduni mkubwa wa kujaza mashabiki, wapenzi na wachama wa vilabu hivyo hasa kwa kuzingatia ni mechi ambayo hutawaliwa...
10 years ago
VijimamboBUSEGA HAPAKARIKI, WAGOMBEA CCM WAJIONDOA DAKIKA ZA MWISHO.
Taarifa zilizotolewa na jeshi polisi Mkoani hapa pamoja na Mkuu wa Wilaya hiyo Paul Mzindakaya zinaeleza kuwa katika mji wa Lamadi viongozi walikuwa wanagombea katika uchaguzi huo kupitia CCM wamejiondoa katika dakika za mwisho.
Taarifa hizo zilieleza kuwa viongozi hao wamejiondoa kwa madai ya...