BUSEGA HAPAKARIKI, WAGOMBEA CCM WAJIONDOA DAKIKA ZA MWISHO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-mEXzqN-5B8c/VI1WxhFNMHI/AAAAAAAABb8/yJ3xQlK0ECI/s72-c/20141214_100646.jpg)
Wakati zoezi la kupiga kura uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa kwa ngazi za vijiji, vitongoji pamoja na mitaa ukiendelea leo nchi nzima hali si shwari mkoani Simiyu katika wilaya ya Busega.
Taarifa zilizotolewa na jeshi polisi Mkoani hapa pamoja na Mkuu wa Wilaya hiyo Paul Mzindakaya zinaeleza kuwa katika mji wa Lamadi viongozi walikuwa wanagombea katika uchaguzi huo kupitia CCM wamejiondoa katika dakika za mwisho.
Taarifa hizo zilieleza kuwa viongozi hao wamejiondoa kwa madai ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Mar
UDHAIFU: Dakika 45 za mwisho zaiua Yanga SC
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Dakika 45 za mwisho ngumu Simba, Yanga
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio)
Leo Dec 28 2015 klabu ya Dar es salaam Young African imetangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana mchezaji Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, Hapa nakukutanisha na mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Jerry Muro akielezea sababu za maamuzi hayo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika […]
The post Dakika Nne za maamuzi ya mwisho ya Yanga kuhusu Niyonzima…..(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Q73WDuzNqy0/default.jpg)
5 years ago
BBCSwahili01 Jun
George Floyd: Je ni kipi kilichotokea dakika 30 za mwisho kabla ya kifo chake?
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
Yaliyogubika uchaguzi CCM Jimbo la Busega
AGOSTI 14, mwaka huu saa nne asubuhi lilijiri tukio la kihistoria wakati wa kutangaza matokeo ya
Christopher Gamaina
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video)
Rapper wa kike mrembo kabisa Nicki Minaj anakuwa mmoja ya mastaa wa Marekani na mastaa wakubwa Duniani waliogonga vichwa vya habari kwa kufanya show za nguvu kwenye nchi za Africa. Mzigo mzima wa Nicki Minaj ulikuwa ni Angola weekend iliyopita na hapa nina kipande cha video kuanzia Nicki anatua Airport, show yake kwenye stage, na […]
The post Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.